kama hauna kazi hapo hela utapata ila kama unayo siwezi kumpa daily mwanamkeDaaaah yaan ni kitu kigumu sana kwangu kumuomba MTU pesa hususan MTU nliyenaye kwenye mahusiano,nikifikia hata ya kukuomba yaan ujue kweli nimebanwaaa kishenz
ha ha hilo bomu la atomicNyie wa hivi ni wazuri ila shida ipo siku ukidondosha bomu. Huwa ni genuine case na huwa mzinga mkubwa. Utasikia " naomba niongezee kidogo school fees ya mtoto" au "nikopeshe nadaiwa kodi mwaka mzima, ntakurudishia"
pointfulLabda hujiamini lakini leo kuombe nauli ya daladala sh 400, bodaboda 1500, Bajaji 2000 imekuwa kawaida hasa dar
Nilipokuja dar nilikuta wanawake wanene wazuri nikadhani wanahela lakini omba omba sana
Mi nseme mwanamke kukushirikisha Shida yake sio kosa ila sasa ya kuomba kila kitu ndo sio nzuri; kusaidiana kupo
Ni kawaida mbona,mi mwenyewe siwezi kabisa kuomba helaHuwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.
aisee KIKOSI CHA MIZINGA chenu ni hataree sanaHaha..ya nini kuamortize mizinga?kidogo kidogo kila leo unamchosha mtu,akikuona hana raha akiwaza mzinga tu... Mzinga mmoja mkuubwa once in a long while unafidia hizi rejareja za kila siku na mtu hajui siku wala saa.,
Huwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.
una story nzuri sana ya maisha yako nimeipenda sana dadaMim babaangu anahustle sana kupata hela ya matumizi nyumbani namuonea huruma sana akiludi amechoka siku nyengine akose siku nyengine akipata n kidogo lakin bado anajitahid binti zake tuishi vizuri. Kaka zangu wanavuja jasho kwa nguvu kupata pesa ili wadogo zao tupate mahitaji. Kila nikiwaona hawa wanavyohangaika na kuumia najisemea moyoni kwanini ni muumize mwanaume mwengine kwa kumuomba pesa ambazo ni ngumu kupatikanika tena kwa vitu visivyo vya maana kama kusuka ,nguo sijui na vitu luxury. Naona hata aibu kuomba pesa na hata akinipa mwenyewe huwa najifikilia mara mbilimbili ni kweli na uhitaji na hizo pesa kama sina nitasema au kununua kitu chenye faida kwetu sote ili jasho lake lisiende bure. Maisha yamenifundisha kuwa na nidhamu na pesa aiseee.
Wengine hawawez omba ila wataka ww mwenyewe ujiongezeHuwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.