Binafsi namuogopa sana mwanamke asiyeomba hela

Binafsi namuogopa sana mwanamke asiyeomba hela

Kwani mpk tuombe!?
Si unatoa tu ukizingatia tuna matumizi!
sasa mama watoto unajua mke na mpenzi ni vitu 2 tofauti,sasa kama uko kwenye mapenzi then humuambii mpenzi wako matatzo yako unadhani mwanaume atatambuaje?
 
Ila wengine wamezidi kaka, wanapiga mizinga utadhani anakata roho
 
Mi binafi cpend kuomba hela ila naweza kuongea ktk Indirect way so kama ni mtu wa kujiongeza atajiongeza. Kama sio mtu wa kujiongeza hawezi kunielewa. Nahic hata wewe sio mzur ktk kujiongeza ndio maana unasema hivyo
 
mkuu unaweza mpa pesa na bado akaomba kwingine hata vocha ya buku hii ni Tabia ,
kwahiyo hata kama haombi sio sababu ya kuhofia wengine ndivyo walivyoumbwa hawajazoea kuomba mpaka uwape au uwafikirie
Ni kweli.....wanaume wajifunze kujiongeza, tumelelewa ktk mazingira tofauti .
 
Mi binafi cpend kuomba hela ila naweza kuongea ktk Indirect way so kama ni mtu wa kujiongeza atajiongeza. Kama sio mtu wa kujiongeza hawezi kunielewa. Nahic hata wewe sio mzur ktk kujiongeza ndio maana unasema hivyo
At the end of the day, direct or indirect umeshaomba hela.
 
Huwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.
Ukikitana na wahivyo usipepese macho hiyo ndio mkeo!
SIO mpita njia....

Back
Top Bottom