Labda hujiamini lakini leo kuombe nauli ya daladala sh 400, bodaboda 1500, Bajaji 2000 imekuwa kawaida hasa darDaaaah yaan ni kitu kigumu sana kwangu kumuomba MTU pesa hususan MTU nliyenaye kwenye mahusiano,nikifikia hata ya kukuomba yaan ujue kweli nimebanwaaa kishenz
Haha..ya nini kuamortize mizinga?kidogo kidogo kila leo unamchosha mtu,akikuona hana raha akiwaza mzinga tu... Mzinga mmoja mkuubwa once in a long while unafidia hizi rejareja za kila siku na mtu hajui siku wala saa.,Nyie wa hivi ni wazuri ila shida ipo siku ukidondosha bomu. Huwa ni genuine case na huwa mzinga mkubwa. Utasikia " naomba niongezee kidogo school fees ya mtoto" au "nikopeshe nadaiwa kodi mwaka mzima, ntakurudishia"
hivyo hata mimi hiyo tabia imenishinda siwezi kabisaaaaMe cwezag kabisa kuomba pesa
Mimi pia siwezi kwa kweli lohhivyo hata mimi hiyo tabia imenishinda siwezi kabisaaaa
Umejibu sawasawa kabisa.mkuu unaweza mpa pesa na bado akaomba kwingine hata vocha ya buku hii ni Tabia ,
kwahiyo hata kama haombi sio sababu ya kuhofia wengine ndivyo walivyoumbwa hawajazoea kuomba mpaka uwape au uwafikirie
Mi mwanamke wa namna hii huwa namheshimu sana. Na ikitokea anapata vingi tofauti na yule anayeomba. Hata hivyo inabidi awe na roho ta kushukuru. Sio huombi lakini unapewa na bado huwezi kuonyesha appreciation.Daaaah yaan ni kitu kigumu sana kwangu kumuomba MTU pesa hususan MTU nliyenaye kwenye mahusiano,nikifikia hata ya kukuomba yaan ujue kweli nimebanwaaa kishenz
Hakika maneno yametimia... mmepewa bure na nyie toeni bure.Me cwezag kabisa kuomba pesa
HaaaaaaaHuwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.
sasa utampaje mtu bila yakuombwamkuu unaweza mpa pesa na bado akaomba kwingine hata vocha ya buku hii ni Tabia ,
kwahiyo hata kama haombi sio sababu ya kuhofia wengine ndivyo walivyoumbwa hawajazoea kuomba mpaka uwape au uwafikirie