Binadamu wa kwanza kupandikizwa moyo wa Nguruwe, afariki Dunia miezi 2 toka apandikiziwe

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,456
17,228
Mwezi January iliyokea mafanikio makubwa ya kimatibabu baada ya madaktari wa Marekani kufanikiwa kupandikiza moyo wa nguruwe ulioboreshwa (Genetically modified heart) kwa binadamu na kuleta matumaini makubwa kwa mahitaji ya kiungo hicho muhimu.

Miezi 2 baadae, yaani leo, binadamu wa kwanza kupandikizwa moyo wa Nguruwe amefariki Duniani. Madaktari wanasema hakuna tatizo lolote lililotokea hadi kupelekea kifo chake.

=====

Man given genetically modified pig heart dies​


Surgeon Bartley P Griffith with David Bennett in January


Image caption, Surgeon Bartley P Griffith pictured with David Bennett earlier this month


The first person in the world to get a heart transplant from a genetically-modified pig has died.

David Bennett, who had terminal heart disease, survived for two months following the surgery in the US.

But his condition began to deteriorate several days ago, his doctors in Baltimore said, and the 57-year-old died on 8 March.

Mr Bennett knew the risks attached to the surgery, acknowledging before the procedure it was "a shot in the dark".

Doctors at the University of Maryland Medical Center were granted a special dispensation by the US medical regulator to carry out the procedure, on the basis that Mr Bennett - who had been confined to a bed - would otherwise have died.

He underwent the surgery on 7 January, and doctors say in the weeks afterwards he spent time with his family, watched the Super Bowl and spoke about wanting to get home to his dog, Lucky.

But his condition deteriorated, leaving doctors "devastated".

"He proved to be a brave and noble patient who fought all the way to the end," surgeon Bartley Griffith, who performed the transplant, said in a statement released by the hospital.

Dr Griffith said previously the surgery would bring the world "one step closer to solving the organ shortage crisis". Currently 17 people die every day in the US waiting for a transplant, with more than 100,000 reportedly on the waiting list.

The possibility of using animal organs for so-called xenotransplantation to meet the demand has long been considered, and using pig heart valves is already common.

In October 2021, surgeons in New York announced that they had successfully transplanted a pig's kidney into a person. At the

Soma zaidi hapa.

 
Uharamu wa nguruwe upo kwenye kuliwa tu, kuwa si mnyama wa kula, kama tu hatuwezi kula kunguru, hatuwezi kula paka, hatuwezi kula vyura.
Ila sio kwamba kama moyo wake ni tiba usitumike hapo ni mapenzi ya mtu binafsi ila maelekezo ni kuwa mnyama huyo sio chakula, kama tu ambavyo kenge sio chakula
Usiseme sio chakula coz usipokula wewe kuna watu kwao ni chakula
 
mi nadhani tabia za nguruwe ni makelele ,Sasa huo moyo ulimvuluga na makelele !!
 
Uharamu wa nguruwe upo kwenye kuliwa tu, kuwa si mnyama wa kula, kama tu hatuwezi kula kunguru, hatuwezi kula paka, hatuwezi kula vyura.
Ila sio kwamba kama moyo wake ni tiba usitumike hapo ni mapenzi ya mtu binafsi ila maelekezo ni kuwa mnyama huyo sio chakula, kama tu ambavyo kenge sio chakula
Hakuna uharamu wa nusu nusu, kitu either ni kibaya au ni kizuri
 
Mbona mwenzake wa figo anatamba mtaani bila matatizo

Umepandikizwa moyo wa nguruwe afu huo huo moyo bado unataka kuutumia kwenye hisia za mapenzi, unategemea nini?
We ni fala,hahahaa ...kwa hiyo asipende
 
Back
Top Bottom