Daktari hili jibu natamani nilifananishe na sindano ile walitoiiita chloroquine ilivyokuwa ikiingia kwenye sehemu husika utamu unausikilizia mpaka kwenye kisogo
Mambo ya mtandaoni, haya ya kuhusu ''mafanikio'' ya wabongo usiyachukulie serious. Unaweza kudhani ni wewe pekee umebaki maskini Tanzania kumbe una nafuu.