Nani kasema mtu anapokufa roho yake inakaa mahabusu??--- nilichosema ni kwamba mtu akifa roho yake inakwenda Barzakh ikisubiri kwenda akhera, Barzakh sio mahabusu bali ni hatua ya kati (intermediate stage) ya dunia na akhera, katika Barzakh roho zinakuwa katika usingizi mzito na katika hali ya usingizi Muda auhesabiki kama jinsi muda usivyoweza kuhesabu katika usingizi huu wa kawaida, yaani kama leo utamfufua mtu aliyekufa miaka 4000 iliyopita na ukamuuliza; kaburini (katika Barzakh) umekaa miaka mingapi anaweza kukujibu:- nimekaa masaa mawili au siku moja kwasababu muda katika ulimwengu wa Barzakh umesimama (time less), muda ni miongoni mwa dimensions kwa ajili yetu katika ulimwengu wa kimwili, (spacio-time), na ndio maana huo ulimwengu wa roho (barzakh) hatuuoni kwasababu space yake ipo katika spiritual dimension ambako hakuna muda (time is function less).
Ni lini roho zitafufuliwa kwenda akhera??--- Ni Mungu mwenyewe ndiye ajuaye ni lini, lini ni lazima watu wote tutakuwa tumetoweka duniani ndipo akhera itafuata.
Sio tu binadamu wote watafutika duniani bali universe yote itafinyangwa katika "Black hole" na ulimwengu utaanza upya kama jinsi ulivyooanza kipindi cha the big bang na baada ya kutokea galaxes zenye sayari hapo Mungu anaweza kuumba viumbe wengine kama binadamu nk, au akaumba viumbe wa aina nyingine kadiri atakavyopenda.
Chamsingi ni kwamba Watu na viumbe hai vyote vitakufa na kila kitu kitakuwa perished into black body, nmna gani watu tutakufa wote ni Mungu ndiye ajuaye kwani hujui kwamba pre historically kulikuwepo na Donasaurs hapa duniani hebu niambie walikuwa perished katika dunia how??!!