Nuhu wa kwenye Biblia aliishi miaka 950 hivyo alimzidi Adam miaka 50, je unasemaje kuhusu Nuhu?Sasa ni hakika na wazi kuwa binadamu ataishi kwenye sayari tisa kabla ya kuonana na Mungu
Inasemekana Adam aliishi miaka 900 ambapo kila baada ya miaka 100 alikuwa akiishi kila sayari na Dunia ilikuwa Sayari ya mwisho kuishi kwa Adam
Sasa iko hivi binadamu unatakiwa kuishi miaka 100 kila sayari,na Dunia ndo sayari ya mwisho kwa Adam hivyo Dunia itakuwa sayari ya kwanza kwenda kwenye Sayari zingine zile zenye uhai na si hizi ambazo umesoma kwenye sayansi
Zipo sayari zingine zinazofanana kila kitu na Dunia na ndo safari ya maisha ya binadamu akielekea sayari nyingine
Binadamu akifa baada ya miezi tisa atazaliwa kwa mwanamke katika sayari nyingine
Endapo alikufa akiwa na umri wa miaka 40 atazaliwa kwenye sayari nyingine ambayo kule ataishi miaka 120 ndo atakufa tena na kuzaliwa kwenye sayari ya tatu
Kwa maana hiyo ikiwa binadamu amekufa kabla ya miaka 100 hivyo sayari inayofuata ataishi miaka mingi zaidi ili kufidia maisha ya sayari iliyopita
Kama atakutana na changamoto za kufa kabla ya miaka 100 kwa kila sayari ya kwanza mpaka ya sita basi Sayari ya Saba mpaka tisa changamoto za kukatisha maisha yake zitaondolewa na atafidia maisha ya miaka 900 ili amuone mungu
Pia hii inaenda sambamba na wanyama,na viumbe hai wengine
Pia inasemekana binadamu ukiwa unazaliwa kwenye sayari nyingine hutakuwa na uwezo na kumbukumbu kuwa umewahi kuishi ila kumbukumbu zitaanza kurejea utakapofikisha miaka 700 kwenye sayari ya saba na nane ambapo utakuwa muda wa kurekebisha uhai wa maisha yake
Akili timamu inapimwa vipi ukilinganisha na maandiko ya kwako na ya kwake?Ni sahihi Unachosema lakini imani yenye nguvu ni ile inayokubaliana na akili timamu.---akili ni nyenzo aliyotupatia huyo Mungu ili tupate kumjua na kujua mazingira tunamoishi.
Hivyo huwezi kuzungumzia imani kavu bila misingi imara inayotokana na akili.
Akili timamu inapimwa vipi ukilinganisha na maandiko ya kwako na ya kwake?
Inategemea na definition yako ya akili timamu ukiilinganisha na masuala ya imani.Samahani nikuulize swali; wewe unayo akili timamu??
Inategemea na definition yako ya akili timamu ukiilinganisha na masuala ya imani.
Umadefine vipi akili timamu?
Sasa unajua unataka kufananisha akili timamu katika ulimwengu wa kawaida huu wa mwili na nyama na akili inayotumika linapokuja suala la imani.Akili timamu itabaki kuwa timamu regardless of any thing, mfano mtu akifanya ngono hadharani, huyo anazo akili lakini sio akili timamu, kufanya ngono hadharani hiyo ni akili kama ya mnyama.
Kwa mfano huo, je wewe unaweza kufanya tendo hilo hadharani??
😁😁😁😁Lisemwalo lipo...
Sasa unajua unataka kufananisha akili timamu katika ulimwengu wa kawaida huu wa mwili na nyama na akili inayotumika linapokuja suala la imani.
Linapokuja suala la imani suala la utimamu linachukua sura nyingine. Mfano mlokole anayeacha kumpeleka mgonjwa hospitali na kuamua kumuombea huyo ana akili timamu?
JIBU LA SWALI LAKO NI HAPANA.
Ili litakuja miaka ijayo[emoji23][emoji23]Lisemwalo lipo...
Mi mbona nakumbuka kabla ya kufa Ulaya na kuzaliwa tena bongo nilikuwa nani,niliishi wapi na nilifia wapi..Pia inasemekana binadamu ukiwa unazaliwa kwenye sayari nyingine hutakuwa na uwezo na kumbukumbu kuwa umewahi kuishi ila kumbukumbu zitaanza kurejea utakapofikisha miaka 700 kwenye sayari ya saba na nane ambapo utakuwa muda wa kurekebisha uhai wa maisha yake
Lete uthibitisho wa Hii scene bwana mkubwa!Umeandika au umejiandikia, ukifa unaingia kaburini kuna adhabu zako unapata na kama mtenda mema utaishi maisha ya amani kaburini mpaka itakapokufikia Kiama ndipo utafufuliwa na kupangiwa pahala pako pa milele iwe Peponi au Motoni.
Mi mbona nakumbuka kabla ya kufa Ulaya na kuzaliwa tena bongo nilikuwa nani,niliishi wapi na nilifia wapi..
Nukumbuka nilikuwa askari mtiifu wa Hittler,siku ambayo nakufa ni ile siku waliokua mahasimu wetu America na wapuuzi wenzake walipotuvamia pwani iliyo upande wa magharibi (Omaha bay) kwa msaada wa Ufaransa.
Nakumbuka wenyewe siku hiyo waliiita D-Day Invasion...
Nyoko zao...
Na sikuwa na kaburi ndo mana ilikuwa rahisi kuzaliwa bara lingine na jinsia ileile...
Mkuu bado ata wewe Nadharia yako haina mashiko, hivi unajua Kama watu wameanza kufa kabla na baada ya kufa YesuNadharia isiyokuwa na mashiko.
Mtu akifa mwili wake unabaki hapa duniani na kuoza na Roho yake inakwenda katika kaburi la roho linaloitwa Barzakh, katika kaburi hilo Roho inalala "usingizi" ikisubiri kufufuliwa katika ZAMA (siku) ya akhera, katika siku/zama za akhera roho inafufuliwa kutoka Barzakh kuingia katika ulimwengu wa akhera kama jinsi mtoto anapozaliwa kuingia duniani, huko akhera ni ulimwengu wa Roho ambapo roho zitaachwa zipevuke kabla ya kusimamishwa KIAMA/hukumu kwa ajili ya kuingizwa peponi au motoni au kusamehewa kulingana na matendo ya mtu alipokuwa hapa duniani, pepo ni ya milele na moto ni wa muda fulani kwa ajili ya kuwaadhibu wakosefu na baada ya adhabu kali na ya muda mrefu wakosefu wataingizwa peponi.
Kwa kifupi hiyo ndio falsafa ya kifo na ufufuko.