Binadamu atakufa safari tisa ndo amuone Mungu

Nadharia isiyokuwa na mashiko.

Mtu akifa mwili wake unabaki hapa duniani na kuoza na Roho yake inakwenda katika kaburi la roho linaloitwa Barzakh, katika kaburi hilo Roho inalala "usingizi" ikisubiri kufufuliwa katika ZAMA (siku) ya akhera, katika siku/zama za akhera roho inafufuliwa kutoka Barzakh kuingia katika ulimwengu wa akhera kama jinsi mtoto anapozaliwa kuingia duniani, huko akhera ni ulimwengu wa Roho ambapo roho zitaachwa zipevuke kabla ya kusimamishwa KIAMA/hukumu kwa ajili ya kuingizwa peponi au motoni au kusamehewa kulingana na matendo ya mtu alipokuwa hapa duniani, pepo ni ya milele na moto ni wa muda fulani kwa ajili ya kuwaadhibu wakosefu na baada ya adhabu kali na ya muda mrefu wakosefu wataingizwa peponi.

Kwa kifupi hiyo ndio falsafa ya kifo na ufufuko.
Hii yako ndio facts ?

Kwa ufupi zote hizo zako na zake ni nadharia kulingana na imani zenu..., Kumuita mwingine Imani yake haina mashiko wakati na yako ni imani vilevile nadhani si sawa.....
 
Sasa ni hakika na wazi kuwa binadamu ataishi kwenye sayari tisa kabla ya kuonana na Mungu

Inasemekana Adam aliishi miaka 900 ambapo kila baada ya miaka 100 alikuwa akiishi kila sayari na Dunia ilikuwa Sayari ya mwisho kuishi kwa Adam

Sasa iko hivi binadamu unatakiwa kuishi miaka 100 kila sayari,na Dunia ndo sayari ya mwisho kwa Adam hivyo Dunia itakuwa sayari ya kwanza kwenda kwenye Sayari zingine zile zenye uhai na si hizi ambazo umesoma kwenye sayansi

Zipo sayari zingine zinazofanana kila kitu na Dunia na ndo safari ya maisha ya binadamu akielekea sayari nyingine

Binadamu akifa baada ya miezi tisa atazaliwa kwa mwanamke katika sayari nyingine

Endapo alikufa akiwa na umri wa miaka 40 atazaliwa kwenye sayari nyingine ambayo kule ataishi miaka 120 ndo atakufa tena na kuzaliwa kwenye sayari ya tatu

Kwa maana hiyo ikiwa binadamu amekufa kabla ya miaka 100 hivyo sayari inayofuata ataishi miaka mingi zaidi ili kufidia maisha ya sayari iliyopita

Kama atakutana na changamoto za kufa kabla ya miaka 100 kwa kila sayari ya kwanza mpaka ya sita basi Sayari ya Saba mpaka tisa changamoto za kukatisha maisha yake zitaondolewa na atafidia maisha ya miaka 900 ili amuone mungu

Pia hii inaenda sambamba na wanyama,na viumbe hai wengine

Pia inasemekana binadamu ukiwa unazaliwa kwenye sayari nyingine hutakuwa na uwezo na kumbukumbu kuwa umewahi kuishi ila kumbukumbu zitaanza kurejea utakapofikisha miaka 700 kwenye sayari ya saba na nane ambapo utakuwa muda wa kurekebisha uhai wa maisha yake
Yaani Mungu na uwezo wake wote anashindwa kuonana na wewe mpaka ufe mara 9!

Conspiracy theory zimeanza,ni dalili ya shibe kwenye hii awamu
 
Hii yako ndio facts ?

Kwa ufupi zote hizo zako na zake ni nadharia kulingana na imani zenu..., Kumuita mwingine Imani yake haina mashiko wakati na yako ni imani vilevile nadhani si sawa.....

Imani inayoingia akilini ndiyo imani yenye mashiko vinginevyo itabaki kuwa ni hisia, dhana na nadharia tu.
 
Sasa ni hakika na wazi kuwa binadamu ataishi kwenye sayari tisa kabla ya kuonana na Mungu

Inasemekana Adam aliishi miaka 900 ambapo kila baada ya miaka 100 alikuwa akiishi kila sayari na Dunia ilikuwa Sayari ya mwisho kuishi kwa Adam

Sasa iko hivi binadamu unatakiwa kuishi miaka 100 kila sayari,na Dunia ndo sayari ya mwisho kwa Adam hivyo Dunia itakuwa sayari ya kwanza kwenda kwenye Sayari zingine zile zenye uhai na si hizi ambazo umesoma kwenye sayansi

Zipo sayari zingine zinazofanana kila kitu na Dunia na ndo safari ya maisha ya binadamu akielekea sayari nyingine

Binadamu akifa baada ya miezi tisa atazaliwa kwa mwanamke katika sayari nyingine

Endapo alikufa akiwa na umri wa miaka 40 atazaliwa kwenye sayari nyingine ambayo kule ataishi miaka 120 ndo atakufa tena na kuzaliwa kwenye sayari ya tatu

Kwa maana hiyo ikiwa binadamu amekufa kabla ya miaka 100 hivyo sayari inayofuata ataishi miaka mingi zaidi ili kufidia maisha ya sayari iliyopita

Kama atakutana na changamoto za kufa kabla ya miaka 100 kwa kila sayari ya kwanza mpaka ya sita basi Sayari ya Saba mpaka tisa changamoto za kukatisha maisha yake zitaondolewa na atafidia maisha ya miaka 900 ili amuone mungu

Pia hii inaenda sambamba na wanyama,na viumbe hai wengine

Pia inasemekana binadamu ukiwa unazaliwa kwenye sayari nyingine hutakuwa na uwezo na kumbukumbu kuwa umewahi kuishi ila kumbukumbu zitaanza kurejea utakapofikisha miaka 700 kwenye sayari ya saba na nane ambapo utakuwa muda wa kurekebisha uhai wa maisha yake
Bila kuweka source ya haya uliyoleta hapa jukwaani, utakuwa umepoteza muda wako bure!!
 
Tumia bia mbili kila siku akili yako ikae sawa
 
Msibishane na mleta mada ila kwa points na mifano hai maana hata mimi kama vile kumbukumbu za nyuma zinakuna na kupotea
 
Auntie bado tuna maisha mengi ,,,yaaani sayari 8 zinatungoja twende kuishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namuomba Mungu tuwe tunahama tu pamoja Auntie hadi Mbinguni😂
 
mungu wako wewe kutokana na imani yako au wa aliyetoa andiko? Sikia mokaze, hapo ni masuala ya imani.

Ni sahihi Unachosema lakini imani yenye nguvu ni ile inayokubaliana na akili timamu.---akili ni nyenzo aliyotupatia huyo Mungu ili tupate kumjua na kujua mazingira tunamoishi.

Hivyo huwezi kuzungumzia imani kavu bila misingi imara inayotokana na akili.
 
Back
Top Bottom