Binadamu atakufa safari tisa ndo amuone Mungu

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Sasa ni hakika na wazi kuwa binadamu ataishi kwenye sayari tisa kabla ya kuonana na Mungu

Inasemekana Adam aliishi miaka 900 ambapo kila baada ya miaka 100 alikuwa akiishi kila sayari na Dunia ilikuwa Sayari ya mwisho kuishi kwa Adam

Sasa iko hivi binadamu unatakiwa kuishi miaka 100 kila sayari,na Dunia ndo sayari ya mwisho kwa Adam hivyo Dunia itakuwa sayari ya kwanza kwenda kwenye Sayari zingine zile zenye uhai na si hizi ambazo umesoma kwenye sayansi

Zipo sayari zingine zinazofanana kila kitu na Dunia na ndo safari ya maisha ya binadamu akielekea sayari nyingine

Binadamu akifa baada ya miezi tisa atazaliwa kwa mwanamke katika sayari nyingine

Endapo alikufa akiwa na umri wa miaka 40 atazaliwa kwenye sayari nyingine ambayo kule ataishi miaka 120 ndo atakufa tena na kuzaliwa kwenye sayari ya tatu

Kwa maana hiyo ikiwa binadamu amekufa kabla ya miaka 100 hivyo sayari inayofuata ataishi miaka mingi zaidi ili kufidia maisha ya sayari iliyopita

Kama atakutana na changamoto za kufa kabla ya miaka 100 kwa kila sayari ya kwanza mpaka ya sita basi Sayari ya Saba mpaka tisa changamoto za kukatisha maisha yake zitaondolewa na atafidia maisha ya miaka 900 ili amuone mungu

Pia hii inaenda sambamba na wanyama,na viumbe hai wengine

Pia inasemekana binadamu ukiwa unazaliwa kwenye sayari nyingine hutakuwa na uwezo na kumbukumbu kuwa umewahi kuishi ila kumbukumbu zitaanza kurejea utakapofikisha miaka 700 kwenye sayari ya saba na nane ambapo utakuwa muda wa kurekebisha uhai wa maisha yake
 
Good theory.
Umepata wapi Unabii huu, hebu tupe kumbu kumbu ya ulipo pata taarifa hizi.
Mana Mungu huwasiliana naViumbe kwa njia kadhaa , je wewe umesemeshwa na Mungu mambo haya ?
 
Pia inasemekana binadamu ukiwa unazaliwa kwenye sayari nyingine hutakuwa na uwezo na kumbukumbu kuwa umewahi kuishi ila kumbukumbu zitaanza kurejea utakapofikisha miaka 700 kwenye sayari ya saba na nane ambapo utakuwa muda wa kurekebisha uhai wa maisha yake
Inavyosemekana na nani?! Na hao wanaosema, kwavime am very sure hawana even a tiny evidence ya wasemacho, je huwa wanatumia logic ipi kukazia "kusemekana" yao?
 
Sasa ni hakika na wazi kuwa binadamu ataishi kwenye sayari tisa kabla ya kuonana na Mungu

Inasemekana Adam aliishi miaka 900 ambapo kila baada ya miaka 100 alikuwa akiishi kila sayari na Dunia ilikuwa Sayari ya mwisho kuishi kwa Adam

Sasa iko hivi binadamu unatakiwa kuishi miaka 100 kila sayari,na Dunia ndo sayari ya mwisho kwa Adam hivyo Dunia itakuwa sayari ya kwanza kwenda kwenye Sayari zingine zile zenye uhai na si hizi ambazo umesoma kwenye sayansi

Zipo sayari zingine zinazofanana kila kitu na Dunia na ndo safari ya maisha ya binadamu akielekea sayari nyingine

Binadamu akifa baada ya miezi tisa atazaliwa kwa mwanamke katika sayari nyingine

Endapo alikufa akiwa na umri wa miaka 40 atazaliwa kwenye sayari nyingine ambayo kule ataishi miaka 120 ndo atakufa tena na kuzaliwa kwenye sayari ya tatu

Kwa maana hiyo ikiwa binadamu amekufa kabla ya miaka 100 hivyo sayari inayofuata ataishi miaka mingi zaidi ili kufidia maisha ya sayari iliyopita

Kama atakutana na changamoto za kufa kabla ya miaka 100 kwa kila sayari ya kwanza mpaka ya sita basi Sayari ya Saba mpaka tisa changamoto za kukatisha maisha yake zitaondolewa na atafidia maisha ya miaka 900 ili amuone mungu

Pia hii inaenda sambamba na wanyama,na viumbe hai wengine

Pia inasemekana binadamu ukiwa unazaliwa kwenye sayari nyingine hutakuwa na uwezo na kumbukumbu kuwa umewahi kuishi ila kumbukumbu zitaanza kurejea utakapofikisha miaka 700 kwenye sayari ya saba na nane ambapo utakuwa muda wa kurekebisha uhai wa maisha yake
Hii tuliyopo itakuwa ndio ya 9
 
Usijifariji/msijifaliji

ACHANA na dhambi
Mche Mungu.

Hayo mengine utakwendajionea mbele ya safari huko
 
Hii Theory inamfaa mpagani # 1 JF Kiranga kwa sababu haipo kwenye maandiko matakatifu ya neno la Mungu
 
Mkuu hebu thibitisha basi maneno yako umedadisi Kwa njia gani au hayo maneno umeyatoa wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom