Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,602
- 1,864
Nimefatilia binadamu wengi wabaya tena waliokuwa wakichukiwa sana huanza kupendwa na kuonekana wema pale tu wanapofariki sijui hii inatokana na nini?
Kuna wakati nachukiwa na watu mpaka natamani nife ili nianze kupendwa,.
Je kwanini binadamu tumekuwa tukipenda sana marehemu na kuwaona wema sana na wasio na hatia kuliko walio hai?
Leo hii mtu hata akwambie neno la kijinga la namna gani lakini akifa mara tu baada ya kukueleza hilo jambo unaanza kuliona lile neno la kijinga ni lenye maana na linaloishi katika maisha yako,.
-Je wenda hii ni matokeo ya binadamu kukiogopa sana kifo?
-Au ni matokeo ya imani za dini zetu?
- Au ni akili zetu tu kuwa mbovu?
Mwisho kabisa nimalizie kwa kusema kuwa
HATA UNAYEMCHUKIA LEO SIKU AKIFA UTAMUONA NI MWENYE THAMANI