Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

tunahitaji watu wanaofanya kazi kwa kufuara sheria na miongozo, enzi ze kukurupuka mtu mwenye mamlaka kufanya yale anayoyaamini hata kama hana elimu wala uzoefu wayo zimepitwa na awamu yakina sabaya na bashite. sijamfurahia na hii clip kuna siku itakuja kmhukumu. ningekuwa rais nimefuta kazi huyu mwanamke.
 
Mimi ningekuwa Rais, watu wanaofanya kazi kwa masifa ili wasifiwe, ningewafyekelea mbali wote. watu wanatakiwa kufanya kazi kwa professionism, huo ukuu wa wilaya ni wa kuteuliwa tu, hao anaotaka wafanya kinyume na taratibu siku kikinuka yeye ndio atakuwa accountable.
 
KAZIIENDELEE
 


Sofia Mjema jembe
 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…