Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

Hahahahahahaha

Mkuu kuna mshamba mmoja katoka Bukoba, kufika Dar kachanganyikiwa kuona magorofa mwishowe anasema maghorofa yanahitajika Dar es Salaam tu. Jamaa ni dalali anajiita ExpertBroker akijua kuwa kuna mabilionea wengi namna hii Arusha labda mawazo yake yatabadilika.

Tatizo mabilionea wa Arusha mpaka wakifa ndio wanafahamika kuwa walikuwa mabilionea. Lema hatuwezi kujua...


Acha kupotosha watu na mipasho yako! Wewe uko kikundi gani cha taarabu! Hii hoja https://www.jamiiforums.com/busines...-apartments-tanzania-lakini-si-kila-mkoa.html umeikimbia sasa unakosa hata pa kushika!

Tuendelee na hoja yetu, na usifikiri kila ghorofa ni apartments, hoja yangu ilikuwa specific kwa apartments! Kama umeishiwa hoja, just zip your lips!
 
Lema pamoja na wapelelezi wa mjini arusha wanatakiwa kuwa makini katika mambo yanayoendelea jijini hapo, pia askari police waache kuhongwa wawe na uzalendo kazin
 
Hili suala inabidi Lema na wenzake wawajibike haiwezekani kila siku mauaji yatokee kwenye jimbo lake.


Eti Lema wawajibike! M.p.u.m.b.avu wewe usiyetumia kichwa hebu kuwa na maneno mengine ya kusema ama kufikiri kabla ya kuja humu.
 
WATU WANAPINGA NENO BILIONEA BILA KUWA NA POINT... WOTE WALIOSEMWA MABILIONEA NI WA UKWELI ILA KWA FEDHA ZA TANZANIA.. KWA AKILI FUPI ZA WABONGO WANAFANANISHA NA MABILIONEA WA DOLA ZA MAREKANI... wote wana asset za zaidi ya bilioni NA MIAMALA YAO NI YA BILIONI ZA KITZ

Kutokana na maoni yako inamaanisha kuwa wazimbabwe wote ni billionaires na Zimbabwe inaongoza kuwa na more billionaires than any country in the world?
 
Ngoja na mimi nibadilishe vijisenti vyangu kwenda Dola ya Zimbabwe ili niitwe Bilionea
 
Nimejaribu kuangalia jarida la Forbes kuona mabilionea wa Africa lakini hawa Arusha hakuna hata mmoja.

Tatizo kubwa la Arusha ukiwanunulia vijana supu ya utumbo au supu ya ulimi unaitwa bilionea.

Malakionea wamebakia wangapi,
Ukishakuwa na Toyota stout wewe bilionea.
 
Hivi Arusha kuna mabilionea wangapi?

Kila mtu analalamika maisha magumu, lakini kila siku tunasikia kuna mabilionea. Hawa mabilionea pesa zao ziko wapi? au wanaweka chini ya uvungu?
Sasa ndio tunapata ufahamu ni jinsi gani Tanzania kuna matajiri ya kutisha! pia tuntapata picha kwamba ni jinsi gani utaratibu wa kulipa kodi ulivyo mbovu! kama utaratibu mzuri wa kodi basi watu wanne tu mfano wa huyo marehemu msuya wanatosha kuendesha nchi! lakini badala yake kila uchao tunakamuliwa sisi wauza mboga..
 
Labda niweke sawa hapa: "billionaire" kwa kanda ya kaskazini labda ni jina lingine la mfanyabiashara mwenye "Mbesa"
 
Kaka Ritz vipi wasiwajibike viongozi wa vyombo vya usalama wa mkoa ambao ndio wenye jukumu la usalama wa watu na mali zao?

Akikupa jibu lenye mantiki angalau kidogo kwa hili swali ulilomuuliza nitakuonyesha kuku mwenye miguu mitatu!
 
Duuh Arusha kuna mabilionea?,inaonekana arusha ukishakua na bilioni moja wewe ni bilionea kama ndo hivyo basi kariakoo pale kuna mabilionea wengi sana..

Mabilionair uchuro njaa tu wangesikika tangu zamani

Si kila tajiri hutaka ajulikane. Na tafsiri ya bilionea ni moja tu: mtu mwenye asset zenye thamani ya at least one billion (in any currency) ni bilionea.
Watu mnaotegemea Forbes wakuambieni mabilionea toka nchi ambazo informal economy ndiyo inayo-dominate hamjui mnachokisema. Kuna Wamasai wana ng'ombe 10,000, tuseme hawa si milionea/billionea? Scatter, unamfahamu au ulishawahi kumsikia mmiliki wa Soft-Tech Consultants? Ni billionea au...?
 
Hivi Arusha kuna mabilionea wangapi?

Kila mtu analalamika maisha magumu, lakini kila siku tunasikia kuna mabilionea. Hawa mabilionea pesa zao ziko wapi? au wanaweka chini ya uvungu?

ukiwa na zaidi ya billion moja wewe ni billionea...arusha wapo wengi sana.
 
Ar kuna visasi sana c kama enzi zetu za miaka ya 80. Wkt wa sasa Ushirikina upo juu, wivu, kuchunguzana na kutoana roho.
 
habari wakuu, naona a town wameandamwa sana na mtoa roho. Mmiliki wa merimont hotels & lodges kakutwa amefariki jioni hii ndani ya chumba cha hotel ya city plaza, iliyopokatikati ya jiji la arusha. Inasemekana alikuwa na mke wa rafik yake aitwaye chedi na mama huyo ametoweka na mamilioni ya fedha na gari aina ya lincoln navigator.

yawapasa wakazi na matajiri arusha wabadil tabia ili wasiendelee kuacha majonzi kwa familia
 
Back
Top Bottom