J C
JF-Expert Member
- Dec 12, 2013
- 3,182
- 2,698
Kumbe ni wewe uliyetumwa kuja humu kupima upepo. Pole sana mtu hatoishi kwa mkate yupo anayelisha ndege na kuvisha maua yeye halali wala asinzii. Huyo anayekulisha na kukupa buku 7 albadil itaendelea kufanya pasipo shaka mwisho mtaanza kupoteana ninyi kwa ninyi.