Itakuwa bwana yake ni mtumishi serikalini amemwacha sasa kachukia watumishi wote, hahaaaKuna mtumishi wa serikali kakuchukulia mke?
Watumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.
Acheni kulilia nyie haaa unadhani nyie mlieajiliwa ndio mmetoka kimaisha? Unajidanganya aiseee.ndio maana mshahara ukichekewa mnalialia.aandaeni mazingira msitegemee mshahara.namshauri serikali awapunguzie mishahara woote tuone mtavimba?Wivu tu.....umekosa ajira unatka wenzio wacfaidi keki ya taifa lao kisa mawivu yakooo[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mnajificha kwenye sheria bila kuongeza tija tukutane CMAKwanza maana ya tija hujui na sheria za utumishi huzijui nenda kalale