SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,808
- Thread starter
- #141
China wameweza kwa nn sisi tushindwe?Hahaha unaota wewe unadhani kiwanda ni warehouse?!
China wameweza kwa nn sisi tushindwe?Hahaha unaota wewe unadhani kiwanda ni warehouse?!
Hahaha kwani sisi ni china?! Technological know how ni tofauti na ILANI.China wameweza kwa nn sisi tushindwe?
Ungeenda moja kwa moja kwenye ofisi husika unayotaka uione tija ndo wapandishwe mishahara.Watumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.
Kama hamtaki kazi acheni kuna vijana wengi mtaani watachukua hizo nafasi za kubeba mafailiNA BILA MISHAHARA YA MAANA USITARAJIE TIJA YOYOTE. nyie pigeni porojo km mmetoka usingizini
Kwa staili hiyo mchwa ktk secta ya umma hawataisha kamwe.Watumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.
Watumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.
AiseeWatumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.
Dhihaka ulizozitoa itakuwa ulikuwa mtu wa karibu na Magufuli. Sauti ya malalamiko ya weng hugeuka laana kwa watesi. Hivyo bas uliyemsapot kutenda huo uonevu kafa na kama wewe haujafa basi uko mbioni kufaWatumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.
PointWatumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.
Kwa wingi wa mafaili aliyobeba kwa mwakaUnaipimaje tija kwa mfanyakazi wa serikali?