msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,891
hiyo pesa badala ya kuwaongezea watumishi tutawapelekea hao walala hoi direct .....watumishi hawa hawa mwisho wa mwezi wakipata mishahara wanashinda bar kunywa pombe?[/QUOT
hiyo pesa badala ya kuwaongezea watumishi tutawapelekea hao walala hoi direct .....watumishi hawa hawa mwisho wa mwezi wakipata mishahara wanashinda bar kunywa pombe?[/QUOT
Ni kweli nikosea... nilikua namjibu huyo asiyetambuaNadhani umekosea kuni-quote,maana kama kuajiriwa nina miaka lundo naupiga mpunga wa serikali.
Anatumia makalioWe jamaa sijui unatumia sehemu gani ya mwili wako kufikiri!!
Kwa hali hii ya uchumi,mfumuko wa bei, unatarajia tija ndio mshahara uongezwe?
Acheni kutafuta nafasi serikalini kwa kujipendekeza kwa Mkuu kwa mawazo mgando kiasi hiki,mshaurini mkuu ainusuru nji hii kwa kuongeza mishahara angalau kwa 50%,ili wajomba zako na mashangazi warejeshewe uhai