Kijana pambana kwanza, onyesha productivity yako ndo upandishiwe mshahara sio unapasha kiti joto tu alafu unalia lia mshahara upande!Haya tuma salam...
hiyo pesa badala ya kuwaongezea watumishi tutawapelekea hao walala hoi direct .....watumishi hawa hawa mwisho wa mwezi wakipata mishahara wanashinda bar kunywa pombe?Hata wazazi wako wakikusikia kama mama atajilaumu kwa nn hakutoa hiyo mimba na kama baba ataona bora angepiga punyeto bafuni maana hana maana katika jamii.
Kiuchumi iko hivi watumishi wakipata mshahara mkubwa purchasing power inaongezeka na hela inapatikana kiurahisi hata kwa walala hoi.
Duh unatokea wapi Mkuu maana kuna sehemu ukisema umetokea huko nadhani jf wataelewa nini cha kukujibu kwa usahihi.
Kumbe tamko la mshahara kuongezwa hutolewa lini? au ndo unajitia uchizi tu?Ivi mshahara unaongezwa mei mosi....?inaoneka namba unaisoma ukiwa mtaani maana una hasira kama umemeza nyuki teheee teheeee duh JPM wape ajira vijana hawa.
Si pesa yake lakini Mkuu?hiyo pesa badala ya kuwaongezea watumishi tutawapelekea hao walala hoi direct .....watumishi hawa hawa mwisho wa mwezi wakipata mishahara wanashinda bar kunywa pombe?
Kweli kabisaUshoga hautaisha Tanzania
Kumbe tamko la mshahara kuongezwa hutolewa lini? au ndo unajitia uchizi tu?
ngoja nipite kimya kimyaWatumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.
Ivi mshahara unaongezwa mei mosi....?inaoneka namba unaisoma ukiwa mtaani maana una hasira kama umemeza nyuki teheee teheeee duh JPM wape ajira vijana hawa.
Jamaa yangu unanifurahisha sana uzuri wewe umesoma social issues tena kwa kiwango kizuri tu cha *******,management pia uliyo soma inakusaidiaje jamaa yangu *****ry?? Swala la utumishi lina mambo mengi sana ,ubora wa kazi una mambo mengi sana tena sana ukiachilia mbali kazi za kitumwa ambazo ni za lazima ufanye hata bila malipo, nadhan ungeanza na kutoa maelezo vizuri kwa utaalamu wako kitaalamu maana hapo hicho ulicho andika inaonekana kama umeandika kisiasa na kutafuta kuungwa mkono na watu wa upande wa sifa na kusifiwa.Ongezeni tija, vinginevyo fungeni midomo hiyo
Huoni anamsaidia mlala hoi baa medi ama....hiyo pesa badala ya kuwaongezea watumishi tutawapelekea hao walala hoi direct .....watumishi hawa hawa mwisho wa mwezi wakipata mishahara wanashinda bar kunywa pombe?
Umeitwa!??Kijana pambana kwanza, onyesha productivity yako ndo upandishiwe mshahara sio unapasha kiti joto tu alafu unalia lia mshahara upande!
Bichwa lako limejaa kamasi...Bila masilahi mazuri ufanisi utatoka wapi.. Ng'ombe hujampa majani unataka akupe maziwa.. Unaacha ofisi nzuri Dar watumishi wanaenda kulundikwa kwenye mabweni ya chuo yet unataka ufanisi... Bajeti imetekelezeka kwa 27% unataka watumishi wauze pumbu zao wafanye kazi ya serikali.... Akili za KIKOROMIJE Bwana...!!!Watumishi wa umma ni wavivu, wamekosa ubunifu na bado wanalilia mshahara uongezwe Mei Mosi. Nashauri pasiongezwe hata senti mpaka pathibitishwe kuongezeka kwa tija, tuwapime mpaka 2019 labda.