Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,978
- 5,025
Nimepita maeneo ya njombe nimekutana na wapiga campain wa ccm wakiwakimbia watu waliokuwa wakiwazomea barabarani. Kwenye mkutano maeneo ya chaugingi kulikuwa na watu kama 30,hao ni pamoja na viongozi wa wilaya,wacheza shoo na wengine waliovishwa yeboyebo. Ni kampeni za uchaguzi diwani kata ya mji mwema