Bila kuiba kura hawapati kitu!

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Nimepita maeneo ya njombe nimekutana na wapiga campain wa ccm wakiwakimbia watu waliokuwa wakiwazomea barabarani. Kwenye mkutano maeneo ya chaugingi kulikuwa na watu kama 30,hao ni pamoja na viongozi wa wilaya,wacheza shoo na wengine waliovishwa yeboyebo. Ni kampeni za uchaguzi diwani kata ya mji mwema
 
Ila sasa naona wanaanza kuingiwa na woga maana vijana hawako upande wao. Dola tu ndio mlinzi wao na sisi hatuwaogopi
 
kuna jamaa yangu kaniambia cdm walijaza watu mpaka barabara ikawa haipitiki. Kama kawaida mgombea wa cdm ni kijana,hivyo watu wanamkubali na kumsapoti.
 
kuna jamaa yangu kaniambia cdm walijaza watu mpaka barabara ikawa haipitiki. Kama kawaida mgombea wa cdm ni kijana,hivyo watu wanamkubali na kumsapoti.

Mkuu hii taarifa ni nzuri. Nawatakia Cdm na wapenzi wake kila heri.
 
Kura zingekuwa zapigiwa hapa...ningesema umesema kweli...

nimemckia mwenyekiti wa wilaya akilalamika kwamba amekutana watu wamemnyoshea vidole ishara ya chadema, nikakumbuka yale mambo ya mama jk na wanawake wa mbozi alowalalamikia mpaka kwenye vyombo vya habari.nimecheka sana
 
atiwm52 = mwita25

Naona sasa umeamua kutanguliza makalio, kweli choo cha train hakina chember..

Umemwona eehh!

Eti anajidai kugeuzageuza maneno! Utajificha wapi wewe!!

Jamaa alikuwa amejificha kwenye njugu mawe wananchi wamemtoa! Hakika huyu ni Mwita 25, mimi nilitegemea kwa vile amejificha angeendelea kukaa kimya kuliko kujiweka wazi kwa kutetea CCM!
 
CDM Chama makini kina ibiwaje kura???????? Au makini kwenye kugawana ruzuku za chama????

mkuu kuibiwa kura siyo mpaka wakimbie na maboksi.hata kutumia dola kumtangaza mtu ambaye ameshindwa kuwa ndiye mshindi ni wizi!
 
Mwizi daima hawezi kuacha tabia. Tumeona katika nchi nyingi tu, na ndo maana vita vya wenyewe kwa wenyewe huanza.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom