joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,382
- 41,489
Kweli jamii ya zamani sikuwepo, ila kupitia masimulizi na output ya vizazi vilivyo lelewa na wao vilikuwa vinajua thamani ya bikra.joseph1989
Mwanaume akikosa bikira ataangalia body count, body count wangapi..wawili,watatu au wangapi?! Huoni hii iko subjective??? Hivyo hivyo preferences for virgins?!..manake umeiweka kama kila Mwanaume preference yake ni hio wakati kuna wanaume wengi tu virginity sio ishu kwao?! ..(research).
Jukumu la kulinda bikira ni la mwanamke I agree...but wanawake kama walivyo wanaume wana sex due to biological changes ama out of curiosity...if this is the case huoni kama It's natural hizo bikira at certain age kutolewa? Najua utasema kuna wanaocontrol the urge...ila wangapi?!.wanaume wengi ndio maana wanaoa wanawake wasio bikira sababu wanajua at certain age hizo bikira ziko bound kutolewa..seriously wewe mwanamke yuko above 25 una expect awe bikira if not kwa nini uipe thamani?!
Nimekuambia bikira ina thamani ila peke yake haitoshi..unless uko tayari ku trade mutual connection, shared interest na physical attraction over virginity...and if not bikira is overated...
Usiniambie mambo ya jamii ilikuwaje nimekuambia hukuwepo! Bikira zilikuwepo nyingi, umejuaje?! uling'oa ngapi?! Zilikuwa ngapi per population? Is this what you believe ama fact? Kama fact leta evidence..?!
Hujanijibu hili swali....
"Mnasema kwamba mwanaume anakushawishi. Okay mfano nikija hapo nikakushawishi unipe milioni moja utanipa?"
Nataka nipime akili na utashi wako,kama unautumia wakati wa kuvuka barabara au unautumia kufanya maamuzi ya kiroho na kimwili ktk maisha yako.
Siku zote bikra haitokuja kushuka thamani, wanaume tunapenda purity na bikra ni kielelezo. Sio hivyo hata kwa dada zetu huwaga tunawamind wakidate hovyo hovyo, hata watoto wakiume walilolelewa na single mother huumia akiona bi mkubwa wake hajatulia,hata dingi huwa mkali kwa binti yake akiwa waluwalu,yaani utake husitake kwa mwanaume purity ndio kila kitu,ndio asili yetu na hipo hivyo huwezi ibadili.