Nimekupenda bureWanaume wana mambo mengi kichwani,kuwaletea mada hii ni kuwachokoza mpenzi
Japo kuoa bikra ni muhimu sana,binti asipokengeuka na vijana wa mjini anakuwa hajui kitu kuhusu sex nje ya mumewe hivyo kumweshimu mume inakuwa ni 99%
Hahaaaa kama bikira kila mtu alikua nayo...Tatizo hutaki kupewa fact unataka kujifariji
Mungu alisamehe malaya wote ila alipotaka kumleta mtoto wake alitumia bikra.
Sasa wewe sio bikira unataka kuwa sawa na bikra?? Huna thamani huna hoja
Pathetic
Hahaaaa .Ulitolewa bikra ukiwa ndoani ama ukiwa bado hujaolewa.
Naomba unijibu kwa unyenyekevu maana sijaja kiroho mbaya.
Kwa hakika umebarikiwa sana mkuu.Bikra nimekutana nayo mwaka jana, kwa mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili. Nimeikataa tukiwa chumbani kabisa tupo uchi sababu sikuwa committed nae. Sijui kama anayo bado au hana.
Girlfriend wangu wa sasa nilimkuta nayo. Previously nilikuwa na girlfriend mwingine (R.I.P) nilimkuta nayo.
Ambalo hamjui ni kuwa bikra zipo mjini zaidi kuliko vijijini. Bikra ziko private schools zaidi ya shule za kutwa. Bikra zipo kwa matajiri na middle income earners kuliko kwa makapuku. Na sijawahi kutana na bikra alafu akanimbia anayo, huwa nakutana nayo kama surprise. Ambao hawana ndio huwa wanasema "mimi sijawahi" alafu wanajifanya kuumia.
Wakati naanza kusoma nikajikuta nataka kujua ni jinsia gani huyu. Kusoma jina tu, nilikuwa tayari nimepata jawabu.Nimeona huku watu wako so desperate kupata bikira mpaka kutaka kuoa young girls vijijini huko...
Sawa utampata kigori huko kijijini, akija mtu huyu huwezi hata kufanya discussions nae sababu mko class tofauti, hamuwezi kuwa level moja mkadiscuss maendeleo...more likely kwanza umemzidi elimu..
Second bikira inatolewa siku moja, sio kwamba itaota kila siku, inatoka siku moja then una realise umebeba mtu mzigo huna chemistry nae, sio rafiki yako..hamna chemistry baada ya hapo ..mtuambie nyie mliioa vijijini is it worth kukaa na mzigo kama huu kisa tu bikira ya siku moja?!
Tatu sio kweli kuwa na bikira ndio mtu atabaki kuwa na uke mdogo(mnato)daima , hayo ni maumbile tu ya mwanamke, wanawake wanatofautiana ..huyo mkeo ambae ulimkuta bikira anaweza kuzaa na uke wake ukabaki mkubwa.(sio wote). Wide notion kuwa ukifanya sex mara nyingi uke unalegea ni myth, ni maumbile tu ya wanawake na tunatofautiana..
Mwisho nilishawahi kuuliza swali humu tangia muanze kuhubiri bikira nani kakutana nayo??? Out of millions of men wanaotumia JF pamoja na wale wanaume wenye fake ID 🤣🤣😆 ni wachache sana walikuwa na guts za kusema wamekutana nazo..majority ni hola, so bikira is overated here in JF...bebeni mangurumbembe yenu maisha yasonge...stop looking for a needle in haystack...
Wasalaam
Anita
Mimi huyoooooooo byeee
Issue sio kila mtu alikuwa nayo, issue umetolewa ndoani au na yule bodaboda??Hahaaaa kama bikira kila mtu alikua nayo...
Eti sitaki kupewa facts..
Umerefute nilichosema?!
Umeishia kuni attack..
Mpaka hapa hujajua kwamba hivyo vimatusi vyako havinisumbui?!
Hakuna ubaya if you tell me. I just want to deduce something.Ona ulivyo stupid, and what if I tell you?! Of what use?!
Hahaha factBikra haitafutwi kwasababu watu wanataka uchi mdogo tu it's the feeling and pride ya kupata somebody wako amna mtu amewahi kugusa, we ndo wa kwanza na maybe utakuwa wa mwisho wake. Mambo ya kushauriana kila mtu unashauriana naye kitu cha level yake. Mfano unashauriana na wanaume wenzako ununue gari gan kwa ku consider technical factors then ukishajua unanunua subaru forester fulani hv unarud sasa kwa ile pisi kali yako ya la 3 b saiyo imeshapendezaga ipo hapo ndani unaiuliza tu tununue gari nyeusi au ya kijivu?? Mtt ni kucheka tu meno nje anajua mwanaume ni ww tu dunia nzima
Nataka tu niseme kuwa bikra si kitu cha muhimu sana kama watu wanavyodai. Kama huna wala usijali, banjuka tu!Hahaaaa .
Sitaki kujibu, mpaka uniambie inasaidia vipi huu mjadala??! Kama kuna kitu unataka kusema sema..
Usikute naongea na kitoto cha miaka 15!Issue sio kila mtu alikuwa nayo, issue umetolewa ndoani au na yule bodaboda??
Dada angu vitabu vyote vya dini vinasema umuhimu wa kuoa bikra
Imagine unaoa mwanamke ambaye hana bikra most of them ni watoaji mimba wazuri so unaoa muuaji
Mbali na hilo unaoa MWANAMKE amelala na wanaume 5 sasa wakati wa sex anachofanya ni kufanya comparison mume na x wake
Binafsi naomba ukae kimya maana kidonda chako chekundu naona jinsi gani kimechafuliwa
Compartmentalization. Hali ya maadili yanayokinzana kuwepo kwa pamoja. Kwenye jamii yetu ngono inakemewa na useja pia unaonekana jambo la ajabu.Na sijawahi kutana na bikra alafu akanimbia anayo, huwa nakutana nayo kama surprise. Ambao hawana ndio huwa wanasema "mimi sijawahi" alafu wanajifanya kuumia.