Bikra is Overrated

Bikra is Overrated

Status
Not open for further replies.
Kila kitu kinaanzia kwenye MINDSET, tumefundishwa kuwa bikra ni kitu adhimu sana (simaanishi adimu). Adhimu ina maana ya spesho sana na tumekubali hivyo. Fikiria hivi, John alimtoa bikra Anna, baada ya miaka 2 John na Anna walifunga ndoa. Je, John ameoa bikra?
Sauda hapa Unguja anagawa nyuma ila anatunza mbele ili ukimuoa umkute hajawahi kupitishiwa.......huyu naye bikra eti?
Vipi kama mchumba wako kitobo hakijafunga sababu ya harakati za maisha kama kuendesha baiskeli? Huyu bikra au sio bikra?

Kwa istilahi ya Kiarabu ambako ndiko Kiswahili kimechukua neno BIKRA, neno hilo BIKRA lina maana ya AMBAYE HAJAWAHI KUZAA sio kufanya mapenzi.

Kama kweli hajawahi kufanya mapenzi (kama vijana mnavyotaka) utagundua tu ukipeleka mashine. Hili nalo linahitaji maelezo?

Kwa hali ya maisha ya sasa, angalia zaidi kesho yako kuliko kuitafuta bikra. Zipo nyingi sana, lakini unamuoa mtu ndio kama anavyosema mtoa mada.....una faida gani na hiyo bikra yenyewe sasa?

Naunga mkono hoja.
Bikra is overrated.
 
Bikra haitafutwi kwasababu watu wanataka uchi mdogo tu it's the feeling and pride ya kupata somebody wako amna mtu amewahi kugusa, we ndo wa kwanza na maybe utakuwa wa mwisho wake. Mambo ya kushauriana kila mtu unashauriana naye kitu cha level yake. Mfano unashauriana na wanaume wenzako ununue gari gan kwa ku consider technical factors then ukishajua unanunua subaru forester fulani hv unarud sasa kwa ile pisi kali yako ya la 3 b saiyo imeshapendezaga ipo hapo ndani unaiuliza tu tununue gari nyeusi au ya kijivu?? Mtt ni kucheka tu meno nje anajua mwanaume ni ww tu dunia nzima

Kama nakuelewa pride,

Ila pride yenyewe unaitafuta wapi? Ipo wapi?

Na je pride uko tayari kuja na consequences zake?? Pride ni mbadala wa mengine?

Nafurahi umesema maybe utakuwa wa mwisho wake, keyword maybe...

Umesema technical problems unashauriana na wanaume wenzako, sawa, je kama couple hamna mengine ya kudiscuss apart from 'technical ' problems?!
 
Lakini Anita, tusiangalie upande mmoja tu bwana, let’s be fair. Bikira ina umuhimu wake wa kisaikolojia na kijamii. Mwanamke anayeingia kwenye ndoa akiwa bikira anakuwa hana emotional baggage, hii huwa inaleta amani fulani na heshima ya kipekee kwa sisi wanaume kwa sababu unakuwa unajua kuwa wewe ndio wa kwanza kwenye maisha yake ya mahusiano.

Ni vile kwa sasa imekuwa ni ngumu sana kama sio muujiza kwa kila mwanaume kukutana na mwanamke bikira. Hali ya maisha na jamii imebadilika sana kiasi kwamba hiki kigezo kimekuwa adimu mno kwa sababu ukiangalia mtandao na simu janja zimefika hadi vijijini, na kuondoa ule usiri au ushamba uliokuwepo zamani.

Umri wa mabinti kuolewa kwa sasa ni kama umesogea mbele, kiuchumi na kielimu, sasa hivi wasichana wengi wanaolewa wakiwa na miaka 25 hadi 30+, umri ambao kibaolojia na kijamii ni ngumu sana kwa huyo binti kuwa bado hajakutana na vishawishi vya kimapenzi.

So mwisho wa siku, kila mtu anabaki na vipaumbele vyake, kuna watakaoona tabia na utangamano ndio kila kitu, na kuna wanaoona misingi ya kujitunza tangu mwanzo ndio msingi wa uaminifu.
 
Kwa hakika umebarikiwa sana mkuu.
Mwenzako tangu 2004 nikiwa form four hadi leo naitafuta bikra lakini sijaiona kiasi kwamba sasa hivi siiti tena 'bikra' bali 'kakakuona' kutokana na uadimu wake.
Mimi sijawahi tafuta bikra, huwa nazikuta kwenye safari bila kuzitarajia. Kama hiyo ya mwaka jana jijini Dar, alienda chuo kutoka mkoani amekaa chuo 2 years mjini na hakai hostel ila bado anayo. Na niliamua kuiacha sababu alikuwa ananiganda mume mume wakati sina uhakika na hilo.
 
Mikidinywadinywa hovyo kwa Chips yai toka huko Primary mpaka vyuo mmerudi mtaani mnataka kutuaminishw Bikra sio issue.
Hata wewe ungenunua gari Kilometer zimekata?
Endelea na Biashara uliochagua tangu utotoni, Waacheni watoto wa watu swafi wale mema ya nchi ya wanaume timamu waliojipata kiuchumi na kiakili.
 
Moderator nisaidie kufuta hii topic 😆 🤣 😂 ni uchokozi tuu..sitarudia 😆😆😆😆🤣🤣🤣😂 ngoja nirudi kny ID yangu ya kawaida..ili liparody nawaachia muhamgaike nalo 😆
Kama ambavyo mnaona fahali kuwa na mwanaume mwenye pesa mali na kila kitu

Vivyo hivyo mwanaume mwenye pesa akiwiwa kuwa na mwanamke bikra ni sawa..
Wala isionekane overated , maan hata sisi kwa hoja zako tutakuona overrated
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom