de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 11,818
- 23,794
Hakika mwanamke alionjwa onjwa hukosa radha na huaribika kisaikolojiaWanaume wana mambo mengi kichwani,kuwaletea mada hii ni kuwachokoza mpenzi
Japo kuoa bikra ni muhimu sana,binti asipokengeuka na vijana wa mjini anakuwa hajui kitu kuhusu sex nje ya mumewe hivyo kumweshimu mume inakuwa ni 99%