=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

Hongera Faiza, Mi natimiza 30 ya kuzaliwa wewe watimiza ya ndoa! si mchezo

Ahsante sana, unangoja nini? ingia mjengoni, imagine you are 30, very young, just like my marriage its too young, only 30.
 
Kumbe ni mdada!!!! Hongera sana,mie miaka 3 tu tumeshachokana.

Jamani si mdada ni mmama. Ahsante sana, ni PM nikupe michapo, mitatu jamani mbona ndio ya majaribu hiyo? ukiipita hiyo tu, umeshinda.
 
Ahsante sana. Ameeen, kwa dua yako ya kheri, nashukuru sana na iwe kwa sote.


aaaisee pole... mimi nakuacha.. yaaani Karen yupo page ya pili/tatu...
mpaka ufike ya nane... naona zamu yako dear... Good nite...
 
i just loove ur charisma,lol! FF, hongera kwa surprise. It was really nice of them, hebu uwe unawapigia kelele hawa vijana wakumbuke besdei, annivessary na ma-surprise ya aina hii! that would melt a stony heart!
sasa, hebu omba tena lile jukwaa,ama kufanya rahisi omba jukwaa la wanandoa basi manake humu kuna vijana wanadai ndoa zao zimeishia 3 years annivessary which is very unfair kwa wachangiaji harusi! haya, ulale mapema basi manake hicho kiporo cha 27 usije ukachemsha wewe,itakuwa aibu..
Gozi limelala, nimelichokesha, nililiambia 30 iwe 30 ki ukweli. Loohhh, akajitahid ikawa mbili na nusu! bado ana deni la 27 na nusu!
 
Mimi nampongeza huyo mwanaume,kwani anaonyesha ni mvumilivu kama mimi.
Na mimi nina mwanamke mtata kama ff.
By the way nawapongeza wote,mimi nina 9.bado 21 nikukamate ff.

Gozi langu linafaa kupongezwa maana likiniletea ufukunyuku huwa nalipa kisago mpaka linaipatapata! lol.

Nampa hongera mkeo kwa kuweza kukutunza kwa miaka 9. hiyo iliyobaki kutokea hapo mlipo, wala haina muda. Nakuombeeni kila la kheri.

Ahsante sana.
 

..So FF is a human being after all!!? Am moved by your comment. I can't say I don't like you. Actually, I love you!!
 
FF ni Simba JF, lakini Kondoo nyumbani. Kwa kifupi ni mke mwema, naamini Gozi lake halijapata shida sana ktk miaka 30 ya ndoa kama wengi tunavyofikiri. Kwa mara nyingine, hongera sana.

Bila shaka, kina dada wa leo wana mengi ya kujifunza kutoka kwako kuhusiana na mambo ya ndoa, wapatie elimu na uzoefu wako.
 

Ashadii.......................Mpe hongera nyingi sana bi Faiza Foxy. I may disagree with you in some issues or opinions, but I do have a lot of love and respect for you as a sister, mother, friend and good friend through JF.
I've enjoyed reading your straight forward and clear cut answers and opinions in wide array of issues. The fact that you do not mince words, and not afraid to speak your mind, and outspoken says a lot about your no non-sense and tough personality. I bet you could make a good CEO!!
Thank you for your continuing efforts in sharing knowledge and wisdom here at JF. We love you all!!
 
Hongera FaizaFox na Gozi kwa pamoja.

Kama alivyokuvusha salama kwenye hii miaka 30 ya ndoa, Mungu akuvushe na mengine kama hiyo

Na hapa JF, mwendo uwe ni ule ule tu ili uwe role model kwa wanawake wengine katika kutetea wanavyoviamini
 
Hii miaka 30 kwa wanaume wangapi? maana sie ndio zetu kila mfungo waweza kuwa unaolewa na uanachika baada ya mfungo.
accumulation ya miaka 30 kwa wanaume wangapi dear?
Niswali tu.
 


Sherrif... Message delivered...
 
Nahisi Mtotomagwanda ni mtoto kweli, atafutte iyo kirefu ya LMAO sidhani kama ni vile anamaanisha yeye kuwa katukanwa


Ndio tatizo la kuto kua na age detector wakati wa Registration...lol..

Bora hata angeuliza maana yake... ilinifanya ni Lmao tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…