Big Nyash Vs Big Brain

Big Nyash Vs Big Brain

Sasa kama nyinyi wenyewe mnaandika kizero brain hivi intakuwaje huko kwenye machaguzi🤣
Kivipi tena?Huu ni aina ya uandishi wangu ambao niliuchagua tangu kitambo kama utambulisho wangu.Mwaka 2009 wakati naiona JF ndipo nilianza hivyo.Ulikuwa darasa la ngapi vile?Comical styles & trends!Sina pressure!
 
Back
Top Bottom