Big Nyash Vs Big Brain

Big Nyash Vs Big Brain

Mkuu, kila kitu kina expire date yake.

Na expire date inaweza kuletwa na mambo mengi kama ajali, ugonjwa, mzee baba kifo nk
Akili ni akili tu,na nyash ni nyash tu!Hebu kumbuka ulipokuwa na umri mdogo, halafu vuta picha ya watu waliokuwa na akili na waliokuwa na nyash.Sasa utuambie nani ameponyokwa na rasilimali yake baada ya miaka 35 baadaye?
 
Back
Top Bottom