Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,503
- 98,775
Si kweli hiyo.Nyash hushuka na kupotea kama mtoto aliyebebwa mgongoni huku hajafungwa mbeleko barabara!Akili hudumu.Ndiyo maana kuna wazee wa busara ila hakuna akina bibi mgongo binuka.Ni mikongojo tu.Wote nyash zao zipo pale pale na wote akili zao zipo pale pale