Big brain😀 Mkuu issue ni moja tu .
Big Nyash or Big Brain?
Bado meno ipo mkuu, nyie kachukueni hizo akili za wanawake sisi mtuachie big NYASHNyama nyama ni kipaumbele chako mkuu.
Vipi unayo meno? Usije ukawa kibogoyo mkuu.
Sina vyoteNaamini utakuwa Big Brain hauwezi kukosa vyote Mkuu.
Haya mambo hua hayana formula,Tatizo unaweza kusafiri kidogo.
Huku nyuma wakaja wenye Brain kama yako wakapita na big nyash yako.
Uwe unaweza kwenda kasi na hiyo fahari mkuu.
Nyama nyama nyingi.Nyash isifananishwe na ujinga wowote uleeView attachment 3651860View attachment 3651864