Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,748
Ila siku hizi si wananjunjana km kawaida au wameacha?Nazijua hizo tu
Ila siku hizi si wananjunjana km kawaida au wameacha?Nazijua hizo tu
NdiyoUmesema nyeto?
Uvaaji wa pisi za mle nao ni shidaAa wapi, naona sikuhizi ngono hamna
Vipi hakuna wadau humu?
Mimi naifatilia nikiwa home, week imeshakata. Naona mambo yameanza kuchangamka ingawa safari hii pisi kali ni za kutafuta na tochi, nimeona pisi mbili tu zinazonivutia[emoji16][emoji16].
View attachment 2494273
Kuna pisi mbovu hatari, kuna yule Jenny-O si bimkubwa kabisa halafu mbayaa[emoji23][emoji23]
Bi mkubwa ana 25yrs [emoji23][emoji23]Kuna pisi mbovu hatari, kuna yule Jenny-O si bimkubwa kabisa halafu mbayaa[emoji23][emoji23]
Khosi ana misuli [emoji58]Kwangu mimi pisi ni Yvonne na Blue Aiva, hawa wengine tiamaji tiamaji. Khosi ana body nzuri ila sura ya baba