Big Brother Titans (South Africa vs Nigeria)

Big Brother Titans (South Africa vs Nigeria)

Napendaga pool party
PXL_20230216_184247492.jpg
 
Conversations kati ya blaqboi na marvin kuhusu bluie aiva zinanifrahishaga sana😂 Ningependa ashinde olivia ila nadhan hii hela anashinda khosi! Anyway ni show nzuri kwa intended viewers😉
 
Conversations kati ya blaqboi na marvin kuhusu bluie aiva zinanifrahishaga sana[emoji23] Ningependa ashinde olivia ila nadhan hii hela anashinda khosi! Anyway ni show nzuri kwa intended viewers[emoji6]
Olivia kimeo hana jambo, competition hapa ni kati ya Khosi,Kanaga,Yemi,Blue Aiva, Thabang. Japo muelekeo mzigo unaweza enda kwa Khosi
 
Vipi hakuna wadau humu?

Mimi naifatilia nikiwa home, week imeshakata. Naona mambo yameanza kuchangamka ingawa safari hii pisi kali ni za kutafuta na tochi, nimeona pisi mbili tu zinazonivutia[emoji16][emoji16].

View attachment 2494273

Sio siri pic mbovu sana kuna mmoja ana mdomo kubwa sana akivaa wigi la rangi ya kata wiki iliyo pita
 
Back
Top Bottom