Vijana acheni kuzamia South Africa kama vile mnaenda kwa shangazi Morogoro

Ismoo

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
1,040
1,462
Stori ipo hivi, jana majira ya saa 9 alfajiri nilikua Airport ya Mwl Nyerere nikiwa katika shuguli zangu za kawaida kabisa nilikuwa na wageni walikua wana safiri nikawashusha wageni wangu terminal 2 wakasepa zao.

Nikarudi kukata tiketi ya parking cha ajabu nika ona askari wana msihi kijana mmoja atoke nje ya airpot.

mwamba mmoja aliekua hana bag wala haionyeshi kama ana safiri au la? Askari walipo ulizwa mbona mna mkamata huyo? Waka jibu huyu hana tiket pia ana dai ana enda South Africa kutafuta maisha pia Hana passport

Ajabu ni kwamba hana tiket kibegi cha kuzugia, wala sent 50 hana

Kapiga mzula wake kanda mbili na jeans kubwa bwanga

Wakajaribu kumtoa akawa ana bisha wakampiga mitama mabuti mpaka akasalenda aka toka, huku kapigwa Tanganyika jek just imagine mzee...

Halafu alivyo baharia haswa baada yakutolewa nje na mimi muda sii mrefu nikawa natoka nikapita hapo mbele kuna round about karibu nahigh way ya kuelekea pugu sijui gongo la mboto kuna kituo cha mafuta cha Puma kushoto kama unatoka terminal 2

Nika jaza mafuta, ajabu nika mwona tena yule jamaa (kijana) ana kuja pale Puma nika muuliza mkuu vipi mbona wamekutoa nduki ma poti aka niambia ana taka azamie sauzi ma poti wana mwonea et wamemtoa kama nduli Idd amini

Nika mwambia hutoboi kwa hiyo staili yako ya ukichaa punde kumbe maaskari wali jificha walivyo mwona ana rudi tena wakati walisha msamehe waka unga nae sijui kama wali mkamata maana walifukuzana nae mbali tu walipotelea gizani.

Nikawa najisemea moyoni huyu jamaa ni wale wakurupukaji ambao huwa hawasomi mazingira kabla ya kupanga safari kwa sababu hata pale terminal 2 alikua wrong alitakiwa awe terminal 3 wanayo safiri wa kimataifa. Kitu kingine wanadai alikua hana passport aisee huyu baharia nilihisi amechizika huwezi kujizima data kama yule aisee utapandaje pipa kizembe vile aisee

Mimi kama balozi wa mabaharia Bongo natoa angalizo jamani tuwe sereous na tunacho taka kukifanya sio mtu una jipulizia bangi mbichi then una kurupuka tu.

Pangilia mambo yako vizuri ndipo usafiri huyu jamaa mimi aliniacha mdomo wazi ni kichwa box na weza kusema hivyo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Huwezi zamia South Africa kwa kwenda airport, Hata wewe unayefikiri kwamba angeenda terminal 3 una matatizo.

Unazamie South kwa Mabus na mapambano ya Ma bus ya kuunga unga mdogo mdogo.
 
Sina matatizo, ni vile tu haujanielewa. Ninacho jua ndege zinazo ruka kimataifa wanapandia terminal 3 kwahiyo huyu baharia alianza kwa kukosea terminal japo ukweli asingeli weza kupaa kama ilivyo kua terminal 2.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Huyo sio baharia ni fala tu, kashindwa vipi kwenda kuvizia hata meli za south zinazoshusha mizigo Dar port, au kashindwa nini kusogea tunduma kwenye malori ya kisouth yanayofaulishia pale pombe kali na mawine halafu wanageuka zao bondeni, huyo ni ndezi tu
 
Kabisa palepale unakomaa yale malori ya pombe za south watu wanapanda kwa gharama ndogo wanapotea mbele, au hata angepita malawi lakini wazamiaji halisi kwa sasa huwezi kukosa hata passport unakua mpumbavu
Haswaa Ni boda to boda,Passports 150 tu kijana akiwa serious na safari yake anakuwa nayo....kuzamia airports uliona wapi🤣🤣Huyo kavuta mbichi
 
Huyo sio baharia ni fala tu, kashindwa vipi kwenda kuvizia hata meli za south zinazoshusha mizigo Dar port, au kashindwa nini kusogea tunduma kwenye malori ya kisouth yanayofaulishia pale pombe kali na mawine halafu wanageuka zao bondeni, huyo ni ndezi tu
Huyu na mimi nilihisi ndezi

Back
Top Bottom