kati ya ujinga wa kipumbavu ambao huwa unadhihirisha naman watoto wa kishua wanavyoishi ni huu wa bba. Mungu amenibariki lakini siwezi kukubali watoto wangu waishi kama broilers kama hawa jingaz.Vipi hakuna wadau humu? Mimi naifatilia nikiwa home, week imeshakata. Naona mambo yameanza kuchangamka ingawa safari hii pisi kali ni za kutafuta na tochi, nimeona pisi mbili tu zinazonivutia[emoji16][emoji16]View attachment 2494273
Kwangu mimi pisi ni Yvonne na Blue Aiva, hawa wengine tiamaji tiamaji. Khosi ana body nzuri ila sura ya babaInazidi kuchangamka
Pisi ni yvonne na ipeleng
Wana wanaowakubali ni kananga+ebubu
Yemi na juicy J wanapenda totoz sana
Khosi anaongoza kwa mashabiki
Yule dogo white wa S.A Thabang yuko matured sana
Yemi mshamba wa mademu, anajifanya playboiInazidi kuchangamka
Pisi ni yvonne na ipeleng
Wana wanaowakubali ni kananga+ebubu
Yemi na juicy J wanapenda totoz sana
Khosi anaongoza kwa mashabiki
Yule dogo white wa S.A Thabang yuko matured sana
Maisha hayahitaji kuwa siriaz kihivo, ni burudani kama burudani nyingine tu. Kama unavyoangalia movie yaanikati ya ujinga wa kipumbavu ambao huwa unadhihirisha naman watoto wa kishua wanavyoishi ni huu wa bba. Mungu amenibariki lakini siwezi kukubali watoto wangu waishi kama broilers kama hawa jingaz.
Hata mimi nilikuwa siielewi ila mwaka jana nilipojaribu kuifatili nikajikuta nimeipenda. Kwangu mimi naona kikubwa ni entertainment tu, japo kuna lifestyle fulani za washiriki zinaweza kukufunza kituDuh mna moyo kuangalia hio kitu mimi sijawahi ielewa hata kidogo na sijui dhumuni lake hasa ni nini
Umesema nyeto?Hii siangalii haichelewi kusababisha upige nyeto
Hivi zipo ngap mpaka sasa ukiondoa BBN & BBA?Hata mimi nilikuwa siielewi ila mwaka jana nilipojaribu kuifatili nikajikuta nimeipenda. Kwangu mimi naona kikubwa ni entertainment tu, japo kuna lifestyle fulani za washiriki zinaweza kukufunza kitu