Maxence Melo
JF Founder
- Feb 10, 2006
- 4,230
- 13,415
alikuwa anavaa suruali... mbaya zaidi aliwahi kutoa taulo lake kabla ya kuipandisha vizuri suruali... cha ajabu chupi kwake ni kimeo
Na kibaya zaidi, inaonekana kama mdudu wake ni mdogo sana, nadhani hii itamfanya atolewe haraka sana.Nadhani yeye atatolewa wiki iajayo.
mtu huwezi uza utu wako kwa milioni 100???? wakati unaweza fanya kazi kwa bidii na ukapata pesa hizo???
navyowafahamu viongozi wetu kama kijana huyu akishinda,linaweza kupewa nafasi ya kitaifa ili kufunika wingu la kisiasa la sasa,hakawii kupelekwa hata bungeni.