dah,mwaka huu almost wote ni mcharuko wakuu,cjui hata itakuwaje...
Ni mbwembwe tu, hakuna kitu hapo. Subiri baada ya wk moja akianza kuonja joto la jiwe ndipo utakapojua wale ambao ni wagumu!!
Mnaocheki tupeni updates basi tz nani kaingia
TZ badooooo