Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

Ik kapanda jukwaani.

Nominated housemate from Upville ni Maneta, Lady May and Mampi.
 
Kwa Tz walikuwemo Hilda na Julio. Wakaambulia kukaaa week moja tu wakatolewa!
 
Eviction ni downville wiki hii

nominated countries Ghana(mildred and Keita) and Botswana(Edith and Eve).
 
salute to dayamondi anatema mayaiiiiiiiii
watu weweeeeeeeee

I love this, OMG, siamini
 
Haya semeni lingine mkwanja kachukua na yai katema sanaaaaaaaa
 
Yaani nimejikuta nashangilia utadhani Drogba kapiga bao.

Huyu mtoto namsifu sana, pamoja na mapungufu yake anajitahidi na ni kijana wa mfano.

Haijalishi umetokea familia gani, lakini ni jinsi utakavyoweza kujiendeleza nakujitengeneza.

Nimepigia saluti yai lake maana sina hakika na elimu yake ila sidhaani kama vidato vimeenda kivile, amejifunza lugha.

Nilivyosikia anaitwa nilidhani yatakuwa ya TMK.

Dogo kajitahidi na kithungu chake si kibaya kihivyo!!

Hongera zake!
 
Zainab has stirred upville.

Prezzo hajielewi and bad boy proved to be a womanizer!

I will vote for Keita, upville needs additional man for more drama.
 
Hilda is the best

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Age 28
Country Tanzania

Occupation Saleswoman
Biography Hilda hails from Morogoro and is a saleswoman. She has a son and enjoys the novels of Sydney Sheldon and the book Memoirs of a Geisha. Hilda was inspired to enter Big Brother StarGame by Biggie himself! “He seems to be a big challenge in the House and so I thought it would be fun to join him this time around and give him a special challenge. I can’t wait…” she says. She’s excited by the partnering format of this year’s show as it will be filled with fun and entertainment – plus her partner Julio is her best friend. “He is charming, sweet and a very good listener, of course,” she says.

She says she will do whatever it takes to win the grand prize – including lying her way out of a tricky situation or “being the sweetest thing ever”. She knows that Africa will be talking about her as soon as they see her on screen – which makes her excited. She says if she wins, she will donate money to a charity she supports back home as a peer health educator to help them build a nice house
[/QUOTE]
 
Haahahahaaaa safi sana naona kijana Matope kala buni mwanzilishi wa huu uzi!!!!
 
Live Eviction show inakaribia kuanza.
Sijui nani atatoka.

Mildred amekataa kujipiga sop sop sababu Bigie hajampa nywele alizotaka.
Amekataa hata kwenda kwenye 'eviction diary session'
 
waliokwenye nomination wiki hii ni

Mildred na Keita (Ghana)

Eve na Edith(Botswana)
 
Seydou na Esperanza waliomba 'voluntary Exit' alhamis.
 
Mildred amegoma kwenda stejini, amebaki back stage.

Edith na Edith wamaongea kidogo.
 
mildred evicted no 1
Edith evicted no 2
Eve evicted no 3

Keita upgraded to Upville.
 
Yale yaliyompata Bhoke wa Tanzania mwaka jana, sasa yametokea tena leo hii. Mwanamuziki wa Ghana DKB amemtia kibao Zainab katika jumba la Upville na BIG kuwaamuru wote wawili wafungashe virago vyao na kuondoka ndani ya mjengo leo hii kutokana na kuvunja taratibu za jumba hilo.

Hivi Kupigana ndio tabia yetu waafrika?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom