Barbs Outttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt
woooowwwwwwwwwwwwwwwwwww
lakini afadhali coz alikuwa anakaa kaa tu hata hafurahishi..........
I screamed my lungs out jana baada ya Barbs kutoka, she was too fake.
sasa tusubiri kati ya wale wamalawi na wazambia nini kitatokea....ila wale wamalawi wananiboa.......
Wamalawi wanaboa ila naua Wati atakuwa upgraded, I wish watu wampigie kura Jannet badala ya Kayle.
Uliangalia Party ya Jumamosi hii? Jannet alikuwa anacheza kama ka senene yaani nilicheka sana
Afu analichezea libaunsa jamani ilikuwa kama kifanranga cha kuku kunaenda cheza mziki na tembo.
sikuona hiyo.......huwa naangalia zaidi upville.....hebu ngoja nitawafuatilia nione......
Preta najua jana j'pili ndo ilikuwa siku ya eviction naomba unijulishe waliotoka na wale waliopelekwa upville.
Malonza and Junia (bibi na bwana) out.......