Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,896
- 1,214
Kwenye mambo ya kijinga tunafanya vizuri sana.
Wajinga wazaz wako walioacha kukupa shulle makin na kukuacha ukiwa zezeta mwenye roho ya chuki na kijiba juuuuu,,,,,Hongera Idrs bhana
Kwenye mambo ya kijinga tunafanya vizuri sana.
umeonaeeee???? umenikumhusha siti mtemvuKwenye mambo ya kijinga tunafanya vizuri sana.
Na wewe unayeshangilia liverpool ina faida gani kwa taifa letu?
Na wewe unayeshangilia liverpool ina faida gani kwa taifa letu?
Wengi waliamini Tayo ata shinda ila nilikua namwamini Idriss atakua kapigiwa na nchi NNE au Tano
Mabinti watamkoma sasa
Wengi waliamini Tayo ata shinda ila nilikua namwamini Idriss atakua kapigiwa na nchi NNE au Tano
Hivi haya mashindano yanahusu nini na faida yake ni nini.