Hongereni sana Watz,ushindi huu unatuleta pamoja baada ya sakata la Escrow na hila za mzee Mengi
Hebu wekeni hiyo lipicha lake.....na naomba tu kuuliza,je? Hili shindano lina faida gani kwa Taifa letu????
Haaaaa hivi ni sawa na TZS Ngapi vile
hahahahahahaaa shukrani ziende kwao boko haramu kwa kuwa keep busy wanaijeria
Kwasasa lina faida sababu hizo pesa alizoshinda si zinarudi kwetu ukiangalia indirect ni wengi watanufaikaHebu wekeni hiyo lipicha lake.....na naomba tu kuuliza,je? Hili shindano lina faida gani kwa Taifa letu????
Yaani balaa,ikishindaniwa miss matako instagram tutashinda vibaya sanaKwenye mambo ya kijinga tunafanya vizuri sana.
Wema achangamkie fursa kwa Idriss, ni wakati wa kumrusha roho Diamond sasa.
Unampangia matumizi unajuaje kama anakuja kuzitumia Tanzania.Kwasasa lina faida sababu hizo pesa alizoshinda si zinarudi kwetu ukiangalia indirect ni wengi watanufaika