Dah na nilikuwa nawaza wa naija walivyo wengi vile kumbe na wenyewe wako busy na boko haramu.👏👏👏👏idrisa
Haaaaaaa kwa hakika....., chezea mamilion ya pesa
Haijafikia hata asilimia moja ya pesa ya escrow! kumbe zile pesa tungeweza kuandaa BBA 100 hapa bongo.., daah!Ni vifijo na ndelemo hapa SA baada ya Mtz wetu kutwaa kitita cha dola za kimarekani laki 3......oyooooo
Hureeeeee Idris kwa mpunga wa Usd 300,000
Haaaaaaa kwa hakika....., chezea mamilion ya pesa
Sasa hivi Wema atatulia sasa, wema na idris ni couple mya ya mujini.
jamaa katuwakilisha vyema,dola 300000 zinamhusu
Dah na nilikuwa nawaza wa naija walivyo wengi vile kumbe na wenyewe wako busy na boko haramu.👏👏👏👏idrisa
Wanaigeria wanafki sana.......umemuona huyo Lilian alivyoingia na kumrukia Tayo huku analia.......walijihakikishia sana kushinda.........