Ukitaka kuamini mi mtabiri mzuri subiri how Africa voted
Kwenye mambo ya kijinga tunafanya vizuri sana.
Hivi odds zilikuwa ngapi, Iddris win?
unakumbuka mwisho aliporudi tu baada ya kuwa famous mshindi wa pili bba season 1, akaachana na demu wake akawavaa bongo celebrities
Ndo nasubiria kwa hamu nimefurahi hatari kabla ya kutangazwa mshindi wangemtaja Tayo sijui ingekuaje kweli utampita shekhe Yahya
Hebu wekeni hiyo lipicha lake.....na naomba tu kuuliza,je? Hili shindano lina faida gani kwa Taifa letu????
Wait and see
Kesho fatilieni newsroom za IPP na newspaperKuna rafiki yangu mwandishi wa habari mwandamiz wa vyombo vya habari vya IPP MEDIA kanipigia cm anasema mzee Mengi amewaamrisha hiyo habari ya Idriss isipewe coverage kubwa kuliko scandal ya ESCROW hiyo kesho kwan anahisi itahamisha tension za watz.