Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Kama mnavyojua wasanii wetu wa bongo movies,mamiss na wabongo fleva asilimia kubwa ni ma gold diggers.

Sasa hivi kila mtu atataka awe na mshindi wa Big Brother ili achune buzi na watakuwa washaanza kuweka mikakati ya kumnasa kwa kila njia na wako tayari ata kumlamba mwili mzima hiyo yote ni kutaka kuchuna buzi.

Tutegemee mshindi Idrisa kuanza kuwazungukia hao warembo kama hasipokuwa makini.
 
Utasikia bunge la Tz wanatoa azimio la kumpongeza
 
Hahaaaaa kama hujaskia team Wema au Lulu wakipigana vikumbo Airport kumuwahi...........
 
hawaangalii idadi ya kura total za nchi moja, wanaangalia idadi ya nchi zilizokupigia, ni kama uchaguzi wa marekani na vile majimbo yanavyomchagua rais wa marekani.

Sure mathematics part ya mwisho ya sentensi ya pili nimelisema hilo mkuu. Kuna bonge la assumption nimeliweka kisayansi inaruhusiwa pia!
 
Hongera sana idrisa,utasuza rungu sana kwahiyo pesa na warembo wa bongo movie.
 
Hebu wekeni hiyo lipicha lake.....na naomba tu kuuliza,je? Hili shindano lina faida gani kwa Taifa letu????

mchzo wa kipunga tu hiyo.....siungi mkono kbsa

Unampangia matumizi unajuaje kama anakuja kuzitumia Tanzania.[/QUOTE
Faida yake tumepunguza masikini hapa kwetu ukitoa idriss na family yake kama ya watu 7 so namba ya masikini imedrop kama tulikuwa milioni 1 toa 7 hapo
 
Woyooooooo wale ambao sio fan wa BBA kaeni na stress zenu za escrow huko woyoooo
 
Hii ni bonge la U-turn,tukitoka hapa ni Serikali za mitaa mwisho dakika 90 zimeisha
 
Yanahusu kuipigia kampeni katiba iliyopendekezwa ..... maana watu mnajua tu siasa na nani kaiba na nani kagaiwa.

Ukiona jambo linaendelea nakushabikiwa na wewe ukijitahidi kulielewa hufanikiwi basi ujue sio fani yako achana nalo. Sio lazima kujua kila kitu!
Wewe punguani kweli, umeandika nini sasa.
 
Kwanini a date walioshindikana ajitaftie mrembo mzuri sio hao walioshindikana mrembo ka Samantha
unakumbuka mwisho aliporudi tu baada ya kuwa famous mshindi wa pili bba season 1, akaachana na demu wake akawavaa bongo celebrities
 
Huamini
MUULIZE MWENZIO NA OLE UJIINGIZE KWENYE USANII
HUTOACHA KUONA RANGI HAD I YA

HUDHURUNGI

REKEBISHA FAMILIA YAKO JALI NDUGIZAKO UKIWIWA UNAWEZA NO PM NIKUPE TIGOPESA NA MPESA NO NINAYOTUMIA TUWEZE KUZIOMBEA

JIHADHARI NA MAHUSIANO YA GAFLA NA KUMBUKA KUTOA ZAKA MSIKIINI/KANISANI SAWA NA DINI YAKO


MUNGU AZITAKASE PESA ZOTE IWE ZIMETAKATISHWA AMA LA ZIKATUMIKE SAW A NA MAPENZI YA UFALME WA MUNGU
 
Back
Top Bottom