Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Hebu tudokeze wamesemaje?

wanatukana matusi mazitomazito kwenye account ya davido ya insta comment zaidi ya 600 ni matusi!!!na diamond nae si kapata tuzo Nigeria muda huu huu kapost insta kuwa asante Mungu tumecheat tena n blah blah
 
Niliangalia wakati fulani nilimuona huyu Tayo, jamaa ni mvivu na pia ni mbinafsi. Sidhani kama alishawahi hata kuwa HoH.
Hakuwa akiosha vyombo wala kupika, alikuwa chuki za ajabu kwa washiriki wengine. Sijui kama alibadilika baadaye, lakini hakustahili kuwa mshindi.
Ova

wanageria wengi wako hivyo, wanajiona babu kubwa kumbe hamna kitu
 
Kidogo nimpige kibao mke wangu nimeingia sijakaa hata nitulie nasikia mtu anapiga makelele kumbe ndio huo mchezo alikuwa anaangalia. Nampongeza lakini bado sijajua mantiki ya huu mchezo .
mantiki ya mchezo ni pesaaaaaa
 
Tuliinama pamoja tunainuka pamoja, kura si tumepiga ngoja nami nigoogle mamba ake...
hongera idris, hizo hela tanua kwa step usijeishia kuuza matikiti kama Mac Muga!!!
 
1.jpg

Tanzanian 21-year old Big Brother Hotshots representative Idris has been declared the winner of the ninth season of the reality TV show after 63 days in Biggie’s space.

The youthful comic and aspiring actor managed to beat off stiff competition from Tayo, another Hotshot who had made the final two list but as it turns out, Idris’ lucky star shone brighter than his thus coming out on tops this evening.

His win was proceded by evictions of Butterphly, Ma’m Bea, Sipe, JJ, Nhlanhla and Macky2. After Idris together with Tayo were declared the final two, Biggie called them to the Diary room where they’d their very last Diary as Hotshots final two during which Biggie wished them the very best of luck and urged them to continue playing their game even on the outside.

Shortly after leaving the Diary room, they were Chauffeur driven in a Limo to the Live Show stage and had a red carpet walk greeting fans and invited guests.

Host IK had a chat with the duo before going on to call out Idris’ name as the winner of Big Brother Hotshots! He jumped up in excitement and went on the floor before being congratulated by Tayo, the 6 first evictees of the day and then the rest of the ex-Hotshots joined in the celebrations thereafter.


Source: http://
Big Brother Africa : The winner of Big Brother Hotshots is.....IDRIS!
 
Kumbe ana miaka 21 mmmmmmmmmmmmmmmm Idris i can b your cougar....lol
 
safi Dogo
jipange Vizuri Hicho Kitita Kwa Wadada Wa Kibongo
Hakimalizi Hata Wiki
 
safi Dogo
jipange Vizuri Hicho Kitita Kwa Wadada Wa Kibongo
Hakimalizi Hata Wiki
Jigo
 
Kumbe ana miaka 21 mmmmmmmmmmmmmmmm Idris i can b your cougar....lol

Hili shindano nimelifuatilia historia kidogo tu ya washiriki kutoka Tz,uzoefu unaoneaha washiriki wanaume wamepata mafanikio makubwa kuliko wanawake.Maoni yangu kuwa tuwe tunapeleka washieiki wa kiume tu ili kujiweka katika nafasi ya kushinda zaidi kuliko kupeleka wauza sura wa kike wanaotolewa hatua za mwanzo kabisa.Ni mtazamo tu.
 
Tuliinama pamoja tunainuka pamoja, kura si tumepiga ngoja nami nigoogle mamba ake...
hongera idris, hizo hela tanua kwa step usijeishia kuuza matikiti kama Mac Muga!!!

Ndio Richie uyo au Mwisho? Mesahau
 
Back
Top Bottom