Hili shindano nimelifuatilia historia kidogo tu ya washiriki kutoka Tz,uzoefu unaoneaha washiriki wanaume wamepata mafanikio makubwa kuliko wanawake.Maoni yangu kuwa tuwe tunapeleka washieiki wa kiume tu ili kujiweka katika nafasi ya kushinda zaidi kuliko kupeleka wauza sura wa kike wanaotolewa hatua za mwanzo kabisa.Ni mtazamo tu.
WEMA SEPETU lazima atagongwa na huyu jamaa
Mac muga ndo mwishoNdio Richie uyo au Mwisho? Mesahau
Siku zingine usiwe unakaa mbali na TV hahaha
Mkuu itakuwa mwakani. Thanks
Lina faida gani?
Mwenzako ashapiga Million 500 huko, nyie si mnagawana za escrow na wale unaowatetea kule jukwaa la