Ummu Aym
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 282
- 133
kweli kabisa kwa michezo ya ngono ngono ohhhh mabingwa sisi....[/QUOT
hahahaha! nimecheka hii
kweli kabisa kwa michezo ya ngono ngono ohhhh mabingwa sisi....[/QUOT
hahahaha! nimecheka hii
Bba na escrow wapi na wapi...?
chunga kauli ndugu, we all tanzanians no matter our differences tukienda nje sisi ni wamoja.Duh its kinda sad to support terrorists bt stil i have to laugh,congrats Idris.
Umejuaje kuwa ana chance ndogo tusubirie anything can happen tusicho tarajia
idris ni mdogo sana kwa wema,kuanzia umri hadi uzoefu
Tunacho jua he Z tanzanian..hayo mengine ya kikanda hayatuhusuHuyo dogo anatoka Kijenge pande za Arusha kanda ya Kaskazini - Hata Raisi wenu mpendwa atatoka kanda za kaskazini 2015 msiokubali mkajinyonge habari ndio hiyo na Ni Sheeeeeeda!
Hivi haya mashindano yanahusu nini na faida yake ni nini.
hawaangalii idadi ya kura total za nchi moja, wanaangalia idadi ya nchi zilizokupigia, ni kama uchaguzi wa marekani na vile majimbo yanavyomchagua rais wa marekani.Hii ni number game. Potential number ya voters ya wanaiji na mara ya tatu ya watz assuming kwamba wana nafasi sawa ya votes za nchi nyingine!
BBA Its Tanzanian best competition where we alwas win.
Lets cheer for him.
Mmeona tweet ya davido
" N they cheat again lol "
Nigerians wamechanganyikiwa aisee
Mmeona tweet ya davido
" N they cheat again lol "
Nigerians wamechanganyikiwa aisee