Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

huko insta nesheni ni tabu tupu. Nahisi lulu maiko ananoa visu vyake, lazima hela ichinjwe.
 
Huu ni mwaka wa ushindi Kwa watanzania Kwa mambo manne ya msingi la kwanza ni Escrow,la Pili
 
Wanaigeria wanafki sana.......umemuona huyo Lilian alivyoingia na kumrukia Tayo huku analia.......walijihakikishia sana kushinda.........

Na walie sana wana jiamini Tayo alimtukana Idriss sasa kaondoka na mulaaa wakome
 
Wekeni picha yake basi Mimi simfahamu huyo kijana. Hongera
 
BBA Its Tanzanian best competition where we alwas win.

Lets cheer for him.
 
leo hata tuliokuwa tunapita kimya kimya tunaweka neno...lol
 
La Pili ni kuinua mzika wa kibongo kupitia Diamond la tati sasa Tanzania tunazidi kupaa katika tathinia ya kuwa na brain nzuri katika kudadavua mambo kupitia Kwa idrisa na la NNE ni kifo cha CCM kuanzia serikali za Mtaa had I uchaguzi mkuu
 
Aje ajipigie mabongo movies professional viwembe
 
Back
Top Bottom