Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Tayo is a threat nakubali ila kijana wetu nae ana nafasi
Idriss ana chance kubwa wasiwas Tayo atoke bwana aargh
Tayo is a threat nakubali ila kijana wetu nae ana nafasi
Kabaki Tayo na Idris uwiiiii
Sijui nani atashinda
ila watanzania tupo vizuri hizi nafasi za 2 bora 3 bora hapo hatukosekanagi.
Idriss ana chance kubwa wasiwas Tayo atoke bwana aargh
Mhhhhhh acha kuchulia we we kisa Mtz kabaki unaona bora mnaija
Asipochukua....... hata Idris anaweza shinda sana
Wa announce mshindi tulale zetu..... Idriss
haahaa ok any way ngoja tuone ila Mtz wetu ana nafas ndogo ya kushinda.
Mwenyewe nasubiria kwa hamu kumsikia Idris kashinda mulaaa uwii
yesss ngoja tuone
Unaweka kauli za gundu bana
Umejuaje kuwa ana chance ndogo tusubirie anything can happen tusicho tarajia
Umejuaje kuwa ana chance ndogo tusubirie anything can happen tusicho tarajia
Kabisa huyu anatia migundu yake
jamani huku migombani kwetu hatujui kinachoendelea, mmaoangalia bado tuu hawajatangazaaaaa????? am curious