Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Hahah.. Huku kukatikiana nashangaa jamaa hata hawanyanyui maturubai

Si ndio hapo hafana nii na anayo fanya awaachie lilian na esther hadi Ella wa Uganda kamwambia anajua zaidi lakini hawezi fanya zaidi kama Laveda
 
Washiriki wamelowana kama wagonjwa wa ebola..kuna huyu mtanzania idris sijui mpiga vidufu madrasa kutwa yuko na msuli ..yaani full mavi mavi

Yani mie ameishanikera basi tu na akivaa hicho kisuruali na misoksi sijui ndio vaa gani hiyo.Halafu anavaa msuli halafu na shape yake yani kero tu
 
Si ndio hapo hafana nii na anayo fanya awaachie lilian na esther hadi Ella wa Uganda kamwambia anajua zaidi lakini hawezi fanya zaidi kama Laveda

Lilian kapinda naona yeye anachojua "mjini msingi kiuno"maana ndo anachojua.Huyu Laveda atulie tu maana ngoja tu ninyamaze
 
Katika TV show ambazo ni international level kutoka Africa ninazozidharau kama kinyesi cha kuku ni hii ya BBA, halafu inawashabiki ambao hata huwa siwatarajii..

Wako radhi kuacha usingizi, kazi na maswala mengine muhimu kwa ajili BBA. Mkitaka kusikia 1st AID yuko jera ni siku binti au kijana wangu wa kiume eti aniambie " Dadii I beg your blessing.. I won to join BBA" kama sio panga nta mditopile. Kinacho niudhi ni ngono na vipengele vyake.
 
Huyu Tayo jamani?Hadi powder?Napenda permithias anavyoimba duh ana sauti nzuriii!!!
 
Katika TV show ambazo ni international level kutoka Africa ninazozidharau kama kinyesi cha kuku ni hii ya BBA, halafu inawashabiki ambao hata huwa siwatarajii..

Wako radhi kuacha usingizi, kazi na maswala mengine muhimu kwa ajili BBA. Mkitaka kusikia 1st AID yuko jera ni siku binti au kijana wangu wa kiume eti aniambie " Dadii I beg your blessing.. I won to join BBA" kama sio panga nta mditopile. Kinacho niudhi ni ngono na vipengele vyake.

sio lazima upende kila kitu....
 
Umemuona eeeh!Yani full kujipendekeza na anaongea kimasifa sifa tu

IDRIS mjanja sana.. Ile character yake itamfanya awe na muda mrefu sana hapo ndani nakwambia.. So far vijana wa kiume wanaoonekana hatari ni Idris , Lui and Tayo.

Kama kuna mtu anadhan Idris atatoka leo au kesho kachemka.. Yule dogo anafika siku ya mwisho.

Goitse kama msichana yoyote huwezi kumkubali mwanaume kienyeji, Idris kama mjanja yoyote, dem akikureject sio mwisho wa kuflirt..

Sasahivi navyoongea Idris yupo na Goitse outside.. Dem anamuelewa idris sema wameamua kufanya drama.. That is the gem.
 
Idris au Macky 2 wa Zambia anabeba huu mpunga.. Tayo akiwekwa kwenye eviction na hao watu Tayo anarudi nyumbani.. Luis hatari lakini there is no way Namibia washinde mara mbili mfululizo.. Idris, Macky 2 mmoja wao anabeba mkwanja
 
IDRIS mjanja sana.. Ile character yake itamfanya awe na muda mrefu sana hapo ndani nakwambia.. So far vijana wa kiume wanaoonekana hatari ni Idris , Lui and Tayo.

Kama kuna mtu anadhan Idris atatoka leo au kesho kachemka.. Yule dogo anafika siku ya mwisho.

Goitse kama msichana yoyote huwezi kumkubali mwanaume kienyeji, Idris kama mjanja yoyote, dem akikureject sio mwisho wa kuflirt..

Sasahivi navyoongea Idris yupo na Goitse outside.. Dem anamuelewa idris sema wameamua kufanya drama.. That is the gem.

Hahaaa me napenda tu the way Goitse amereact hii issue kaifanya tofauti kama Eliza wa Kelvin sio lazima ukubali haraka kama wengine wanavyofanya..eg . Hakeem na Cleo au Feza na Oneal couple zao zimeishia kufa
 
Wale wadau jamani wa bba hotshot tunaomba mtujuze yalio ajiri huku mtaani kwetu hakuna umeme simnaelewa tena LAVEDA yumo kwenye kikaango
 
Back
Top Bottom