Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Waendeshaji walichemka kwa kumsahau jamaa mmoja kwa hiyo wamerudia kutaja tena kwa kuongeza mtu aliyesahaulika jana yaani, Permithius.

Kwa hili wanaonekana kutokuwa makini kabisa!

Halafu hili shindano lina tatizo la ubora kiasi kwamba wakati mwingine sauti inakatika hata washiriki wakiwa kwenye diary room! Ni tofauti sana na mashindano ya nyuma!

Iyo ni kweli sauti zinajichaganya sana haija settle especially kwenye diary sesion huyo aliye sahaulika sijui itakuaje
 
Preta unaona michemsho inayoendelea kwenye mchezo?

Naona bibi anazidi kupoteza mzuka..lol!!

Mi mwenyewe naona huu mchezo unataka kupoteza umaarufu kwangu.......this time mpaka sasa kichwa hakijanata na beat vizuri.........ngoja nione labda wakipungua pungua......nitakwenda na steps........
 
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe naona huu mchezo unataka kupoteza umaarufu kwangu.......this time mpaka sasa kichwa hakijanata na beat vizuri.........ngoja nione labda wakipungua pungua......nitakwenda na steps........

Mimi namsindikiza bibi tu...
 
Huyu Lilian jamani kha!kila saa kujichezelesha yani ananikera basi tu na huo msauti wake ndo kabisaaa
 
Huyu Lilian jamani kha!kila saa kujichezelesha yani ananikera basi tu na huo msauti wake ndo kabisaaa

Mwenyewe kujichezesha hafu ana over confidence li msauti libaya hafu huwa ni washiriki wote wa kike wa Nigeria mi sauti mizito sijui inasababishwa na nini
 
Mwenyewe kujichezesha hafu ana over confidence li msauti libaya hafu huwa ni washiriki wote wa kike wa Nigeria mi sauti mizito sijui inasababishwa na nini

Yani kinanifanya hadi nashindwa kuingalia jamani aaaah!mchana kamchezea idriss uwiiii nikasema kazi ipo.Yani anajikatikisha hadi anakera jamani
 
IDRIGO heheiyya

Goitse nae kama anakubali akubali na kama anakataa akatae, mambo ya staki na nataka...

Idrisa anamwambia I LOVE U ye anajibu Thank you
 
IDRIGO heheiyya

Goitse nae kama anakubali akubali na kama anakataa akatae, mambo ya staki na nataka...

Idrisa anamwambia I LOVE U ye anajibu Thank you

Demu anazingua.....bt anaonekana kama "sitaki nataka"
Anyway, let us wait and see.
 
Idrissa kaniboa janaa kama yuko emotional real afanye nje bana Goitse anaonekana hampendi.
 
Mkuu bei si zinaanzia elfu 60 nikitaka kuona hii BBA!?

Inaweza kuwa hata pungufu, jaribu kuwasiliana na Multichoice Call Centre, 0768 988 800. Watakupa bei za package zote walizonazo na kama zote zinazoonesha channel 197 & 198 ambazo ndiyo zinarusha BBA 24hrs.
 
Hebu tujulishane yanayojiri humo ndani maana nimekosa hata mzuka nayo mie nasubiria weekend ndo inapendeza
 
Yani kinanifanya hadi nashindwa kuingalia jamani aaaah!mchana kamchezea idriss uwiiii nikasema kazi ipo.Yani anajikatikisha hadi anakera jamani

Tangia Ik amsifie ana twerk sasa kazidisha ni kila saa hafu Tayo ali mprovoke JJ wenzio wali mu mind sana kajifanya kuomba msamaha kwa vile yuko kwenye eviction washiriki wa west Africa huwa wanajiona sana
 
Jj nae ana misifa mno yani kila saa kinaongea na huyo tayo anajiona km vile yupo next level ana wacrush sana wenzie.Nampenda samantha yuko poa ila esther lazima atoke week hii.Na laveda wetu kila cku na mikofia yake ya tz as if watu hawajui kama katoka tz ila vaa ya idriss ptuuuuu!!!!
 
Dah... I think am outdated, sijawahi kuwa na mzuka na haya makitu... Tusker Project Fame ikianza naomba mnitag wadau..

Enjoy your selves...

Babu Dark City hauvumi lakini umo!?
 
Last edited by a moderator:
Washiriki wamelowana kama wagonjwa wa ebola..kuna huyu mtanzania idris sijui mpiga vidufu madrasa kutwa yuko na msuli ..yaani full mavi mavi
 
ImageUploadedByJamiiForums1413403121.694314.jpg
Wanachokifanya hapa kazi ipo.
 
Back
Top Bottom