Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,128
unajua ili mtoto wa kike ashinde anapaswa kufanya nini mbele ya camera?
Tupe maujanja mkuu Daudi Mchambuzi
Last edited by a moderator:
unajua ili mtoto wa kike ashinde anapaswa kufanya nini mbele ya camera?
Tupe maujanja mkuu Daudi Mchambuzi
Anaiwakilisha Tanzania kwa makubaliano yapi? Ebu acheni upumbavu Cc: Matola
Mmmh sijui hebu niambie....
Wabongo kwa mapenz! ukute huyo jamaa sijui anaitwa Idris anawaza kubanduana tu!!!!
anatakiwa ajiingize kwenye mahusiano ya kimapenzi na mkaka anayependwa humo(attractive couple)
, alafu huyo kaka kura zipungue atolewe then dada apate kura za huruma ya kuachwa lonely.
Wabongo kwa mapenz! ukute huyo jamaa sijui anaitwa Idris anawaza kubanduana tu!!!!
Anaiwakilisha Tanzania kwa makubaliano yapi? Ebu acheni upumbavu Cc: Matola
Bongo tuna vipaji vya ubishi. Tunabishana hata visivyobishika. Mtu unakurupuka umetoka chooni unakuja jf kubishana tu jambo dogo!! Ni utoto mkikua mtaacha. Sasa we unayebisha kuwa haiwakilishi Tanzania unataka kusema ni muwakilishi wa wapi? Kutokumkubali kwako hakuondoi ukweli wa uwakilishi wake kwa Tanzania.
Hao ndio wawakilishi wa Tanzania hata kama hutaki wakuwakilishe. Kama hutaki kameze piliton au kama unachefuka kunywa juice ya ndimu.
Walimsifia mno kua ataweza kila kitu sie twasubiri majibu
Unashangaa au unajiuliza!!!Mwislamu na big brother!! Duh
Atoke awepo atajijua mwenyewee