Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Hahaaa me napenda tu the way Goitse amereact hii issue kaifanya tofauti kama Eliza wa Kelvin sio lazima ukubali haraka kama wengine wanavyofanya..eg . Hakeem na Cleo au Feza na Oneal couple zao zimeishia kufa
Nani katoka leo...
Sijaona Eviction show leo